Unamaana gani?
Umeniambia wanahesabu masomo mawili..but kwenye guide book imeandikwa atleast 2points from three subjects
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaana gani?
Hehe..we sikuwezi, haya bana endeleeni ila please kidogo punguza hata kama ni typing errors zako zinazidi, hamkitendei haki chuo chetu hicho, tuliosoma zamani UDSM hatukua hivyo.
mkuuu usihofu...utaingia pale UDBS bila shida
ndo ulivyozoea na uwezo wa kufikiri ulipo ishia
Umeniambia wanahesabu masomo mawili..but kwenye guide book imeandikwa atleast 2points from three subjects
Two points?!! hakuna kitu kama icho, labda kama two principles sawa?!!
Hiyo isikuchanganye, unapotakiwa kujua wanahesabu points ni pale walipoandika cut points, utaona mfano MUHAS udaktari ni 7 pts katika masomo yale mawili ambayo umefaulu kati ya hayo matatu, hata kama umefaulu yote wanahesabia hayo mawili tu.
Sawa mkuu...nimekuelewa..Basi naombeni mnishauri..nichague chuo gani kama first choice..ambacho mnanona nitapata bila shida...nataka nisome civil au Mining engineering
Kama hutojali nitafute PM nikuambie kitu
bac itakuwa pouwaaa ukimpata mtu anayesoma or aliesoma ndo akupe full dataSawa mkuu...nimekuelewa..Basi naombeni mnishauri..nichague chuo gani kama first choice..ambacho mnanona nitapata bila shida...nataka nisome civil au Mining engineering
bac itakuwa pouwaaa ukimpata mtu anayesoma or aliesoma ndo akupe full deatel
haaa haa!!deatel????? ndo nini?? umeeleweshwa still unarudia makosa, halafu na ww unajiita unasoma chuo,,kingereza hujui hata kiswahil hujui pia?? BIG RESULTS NOW (BRN)..KILaza mkubwa ww,
Matokeo yangu ni phys D Chemistry B Math C Div 3 point 12...je naweza chaguliwa Civil au Mining pale UDSM???
Anza na UDOM mkuu, UDSM competition itakutema.
haa haa!! system inamtema mapema tu haiwez hata kumpa nafasi, anaweza akashangaa system imemtupa chaguo lake la mwisho ambalo ni Education au Food and Nutrition.