Asante kwa kunijibu huko juu
japo tunaenda kwa kukwaruzana hivyo hivyo:
Je kwa hizi hapa anaweza kusoma sheria?
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
.................................div. 1 point 7
usijikute una something kumbe ur nothing
mtu gan ww hasira na Gvt yako usilete hapaaaa
kukosea mbona ni kawaida yaani hata ww mwenyewe unajua hiviii katika mitihan yako ushawah pata mia nobody perfect ndugu
toa hoja tuelimishane kwa hoja ndo utajua kilichomo kimo au?
Aya mdogo wang masomo mema ila kwa staili hiyo uko chuoni unakoenda hata wakigundisha syllabus yote na superglue uko kichwani kwako huo ujinga ulionao hautakutoka kwa sababu ni kipaji chako ulichozaliwa nacho,endelea kukitumia vivyo hivyo tusikitumie kwa kubishana humu jf ni kupotezeana mda tuu
Aya mdogo wang masomo mema ila kwa staili hiyo uko chuoni unakoenda hata wakigundisha syllabus yote na superglue uko kichwani kwako huo ujinga ulionao hautakutoka kwa sababu ni kipaji chako ulichozaliwa nacho,endelea kukitumia vivyo hivyo tusikitumie kwa kubishana humu jf ni kupotezeana mda tuu
ds una ngap na tokeo la o level lipo poa
Mamndenyi asije akawadanganya huyu bwana mdogo, kuapply ni kitu kimoja na kuchaguliwa ni kitu kingine, nimeshtuka pale alipouliza mdau mmoja huko juu eti kama matokeo yake ya O'level yako vizuri atapata.Asante kwa kunijibu huko juu
japo tunaenda kwa kukwaruzana hivyo hivyo:
Je kwa hizi hapa anaweza kusoma sheria?
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
.................................div. 1 point 7
GS nina D..tokeo la Olevel nilipata two ya 18... Phy: B Chem: B Math A..kwenye Olevel hiyo..mwaka 2011 matokeo
hapo kijana unakuwa na point 5.5 na minimum point za pale ni 2 ko had hapo umepass sasa kuchaguliwa with reference kwa mwaka jana walishia 6.5 kwa civil engineering ni watu 44 katika 175 waliochukuliwa so kwa hizi big result probability ni 60% ya kuchukuliwa if u adimer hizo course we jaza come mmefaulu sana na principal wamepandisha na matokeo yako ya o level yako poa iyo itakusaidia
hahah hta ww big results...typo ndo nn...em rudia naww tuone kam ni mzma.hahah typo eeeee.
Nina point 6 kaka...sio 5.5...alafu nahofu kuchagua civil kwasababu kila mtu anaifikiria hiyo..
Don't jauge book kwa cover mzeee ww
Mamndenyi asije akawadanganya huyu bwana mdogo, kuapply ni kitu kimoja na kuchaguliwa ni kitu kingine, nimeshtuka pale alipouliza mdau mmoja huko juu eti kama matokeo yake ya O'level yako vizuri atapata.
Kitu cha muhimu sana kuzingatia mkumbuke inayochagua ni system na sio watu, chuo huweka vigezo na idadi ya watu inaowahitaji hivyo kuwapa vijana fursa ya kuapply endapo anavigezo na kama hana vigezo system inamkatalia, mfano kama cut point ya medicine MUHAS ni 7, hii inamaanisha vijana wote wenye B na B+ wanavigezo.
Tuchukulie chuo kimetoa nafasi 200, na uzingatie watu wengi sana wanavyo vigezo sasa kutokana na kutokutambua namna ambavyo system inafanya kazi wote watakimbilia kuapply MUHAS kisa anavigezo na mwisho wa siku anajikuta anakosa chuo.
Ni vipi atakosa chuo?
Katika kuapply TCU unapewa nafasi tano, nafasi ya kwanza ndo unajaza priority kozi yako, tuchukulie mfano unamatokeo hayo ya B na B+, chuo kinahitaji watu 200 na mpaka deadline wameapply watu 700 kama priority namba 1, kati ya hao 700 zaidi ya 250 wana A na A wengine A na B+ wengine B+ na B+, automatically system inakutema inaenda kuangalia kwenye kozi uliyoipa priority namba 2, hivyo hivyo mpaka utapofit.
Kwa hiyo ni rai yangu kwa vijana wazingatie sana hili na wasidanganywe na hawa watu wasiojua chochote wakajikuta wanapoteza nafasi kwa mfano mwenye matokeo hayo angeweza kukipa priority UDOM ambayo wengi huwa hawaiweki priority 1 moja kwa moja angepata.
0714600060; Kwa msaada zaidi.
madudy nimekusamehe sio kosa lako nadhani ni umri, hakuna sehemu nimekuita mwizi mdogo wangu.
somaaaa iyoo picture usipoelewa comments tena