Tatizo lenu mnadanganyana hapa wadogo zangu, kumbukeni chuo kikuu zinatakiwa prinsipo mbili tu na sio tatu na hata kwenye kuhesabu cut point ya kozi unahesabu points za masomo mawili tu uliyofanya vizuri zaidi yanayohitajika na kozi husika, mfano PCB umepata CCB, C ni 2 na B ni 3, kwa kuwa una C mbili na B moja points zako hapo ni 5 na si 7 somo moja halihesabiki.
Nina point 6 kaka...sio 5.5...alafu nahofu kuchagua civil kwasababu kila mtu anaifikiria hiyo..
ndo maana hukuweza kuja broo kwenye chuo cha nne AFRICA
kaka imomo mwaka huu principal ni C ndio ni 6 nimesema ni 5.5 ni ile ya ds coz ds c 0.5 nyiii ni 6 so unawajua watu 180 wenye ufaulu uliokuzidi wanaotaka jaza civil?
Hahaha kweli elimu ya miaka hii majanga..am pretty sure hii sio typo error
Daahhh...Asante sana kaka kwa kunielewesha..nilikuwa sijui ilo...asante sana...
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pd
sio kweli imomo ukweli ni kwamba zinazo hitajika ni 2 but ukiwa na ya tatu unakuwa katika nafasi nzuri ya kuchaguliwa maximum ni 15 czan ka wamechange utaratibu kuhusu kusabu masomo
mawili tu but mwaka jana wali count yote
reference cheki selection za ud zilivyoenda
swali langu ndilo gumu luliko yote....nakumbuka kwa utaratibu wa zamain ilikuwa rahisi lakini kwa sasa sijui! je mtu alie maliza six 2012 ECA, E=S
C=S
A=C
DIV lll 15
then akasoma diploma ya account na
akapata GPA us 3.8! chuo alicho soma diploma ni TIA!..olevel alipata C 3, na D zote hakuwa na F.
je anaweza kusoma account UDSM?
UDSM ni chuo cha nne AFRICA?? wewe dogo kweli huna data za kutosha! Nyie ndo wale wanafunzi ambao hamjielewi, sasa nakushauri dogo fikiria jinsi gani utafaulu masomo yako kuliko kusifia chuo kipi ni kizuri!
Duuuhhh..kwahiyo D ni point 0.5 au 1?? Au ni kwamba G.S zote either ni A au B au D zina point 0.5??? Daahh..naona kama sielewi mkuu...alafu nimeona humu kwe jamii forum watu wengi wanaponda chuo cha UDOM ni nini tatizo na kile chuo kaka??? Naombeni mnielimishe..
GS na BAM hazihesabiki wanahesabu za kwenye combination tu mfano HKL, PCM, EGM etc
So ile D ya physics haitahesabika??? Alafu kweli koz nimeona wameandika nyingi two points from three subjects...hiyo ndo minimum requirement..
hunaaa habariu broo ukweliii ndo uo uliza uambiwe
.
au
tumbie ww ni cha ngap ki Africa
ishuuu ni kwamba miaka iyopita principal ilianzia E sasa mwaka wenu if principal ni D au C coz sina refence za taarifa zinazosema C ni principal but ka D ni principal itahesabika chaliii
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pdf
hapana hatupondi hapa ila kuna njemba moja alikosea njia chuo ni chuo afu sumve bam haiesabiki but Gs inahusika saaaana view selection za ud mwaka jana uone
So ile D ya physics haitahesabika??? Alafu kweli koz nimeona wameandika nyingi two points from three subjects...hiyo ndo minimum requirement..
dogo mimi siwezi bishana na wewe mwaka wa kwanza maliza chuo halafu uingie huku mtaani! coz hata kuandika kwenyewe kunakupa tabu
Umelewa wewe sio bure!Don't jauge book kwa cover mzeee ww