mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 301
Ila jaribu kuomba kwanza usikate tamaa mapema we omba unaweza pata
Don't jauge book kwa cover mzeee ww
aisee..
mkuu uko mwaka wa ngapi? course gani unasoma?
Mimi nilikimbia Human resource management hapo UDSM, i thought of employment shadow.
Pamoja mkuu.
niii pouwaaaa kijana 2gether sana but now najifikilia kujiajili
etiii ajira mwisho chalinze uku mjin ujasiliamali
ko saaana tu coz soko la ajira lipo but kwa kuchelewa bila kugawa particular hutufiki popote hasa c tunaosoma shule ya biashara
Vp hz naweza pata MD (UDSM)
Chem-B+
Bios-B
phys-D
Hamna kauwezekano hata kidogo kweli?
Asante mkuu nitajaribu kuanza nayo then ya pili iwe UDOM. Pengine yaweza kuwa bahati yanguYeah unaweza kuapply maana mwaka huu cut point ni 7 kwa udaktari na wewe unazo ila unaweza ponzwa na ushindani.
Wadau naombeni msaada coz mm nilimalizia form four na nkaja Tanzania nkajoin advance baada ya kupata equivalence necta....xaxa xaa ii nshapata matokeo ya form six ni utaratibu upi natakiwa nifanye kabla ya kuapply chuo tcu...pls
course ya statistics and economics ni nzuri?
Yeah unaweza kuapply maana mwaka huu cut point ni 7 kwa udaktari na wewe unazo ila unaweza ponzwa na ushindani.
Vp hz naweza pata MD (UDSM)
Chem-B+
Bios-B
phys-D
Hamna kauwezekano hata kidogo kweli?
Hakuna MD UDSM
Hahahahahaaa..hili Taifa jamani ni sheedah!
Wadau naombeni msaada coz mm nilimalizia form four na nkaja Tanzania nkajoin advance baada ya kupata equivalence necta....xaxa xaa ii nshapata matokeo ya form six ni utaratibu upi natakiwa nifanye kabla ya kuapply chuo tcu...pls