Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Ila jaribu kuomba kwanza usikate tamaa mapema we omba unaweza pata

dada angu tusipende kufariji watu hata pale tunapoona hakuna tumaini...hivi kweli UDSM wachukue mtu mwenye ECD seriously?????......huyo chuo hawezi pata pale mlimani ajaribu labda st.joseph au DIT
 
nice competition itakuwa kubwaaaaa
 
Penye kuelekezana usipende kuleta hisia za matusi.
 
aisee..

mkuu uko mwaka wa ngapi? course gani unasoma?

Mimi nilikimbia Human resource management hapo UDSM, i thought of employment shadow.

Pamoja mkuu.

niii pouwaaaa kijana 2gether sana but now najifikilia kujiajili

etiii ajira mwisho chalinze uku mjin ujasiliamali

ko saaana tu coz soko la ajira lipo but kwa kuchelewa bila kugawa particular hutufiki popote hasa c tunaosoma shule ya biashara
 
dah.. kweli mkuu, we unagonga accounting ama finance mkuu?

naona hela za field zinazingua kweli sasa hivi..
 
Vp hz naweza pata MD (UDSM)
Chem-B+
Bios-B
phys-D
Hamna kauwezekano hata kidogo kweli?
 
Vp hz naweza pata MD (UDSM)
Chem-B+
Bios-B
phys-D
Hamna kauwezekano hata kidogo kweli?

Yeah unaweza kuapply maana mwaka huu cut point ni 7 kwa udaktari na wewe unazo ila unaweza ponzwa na ushindani.
 
Asante mkuu nitajaribu kuanza nayo then ya pili iwe UDOM. Pengine yaweza kuwa bahati yangu
 
Wadau naombeni msaada coz mm nilimalizia form four na nkaja Tanzania nkajoin advance baada ya kupata equivalence necta....xaxa xaa ii nshapata matokeo ya form six ni utaratibu upi natakiwa nifanye kabla ya kuapply chuo tcu...pls
 
Lipia pesa NBC pata voucher then tengeneza account..login..apply.
 
Wadau naombeni msaada coz mm nilimalizia form four na nkaja Tanzania nkajoin advance baada ya kupata equivalence necta....xaxa xaa ii nshapata matokeo ya form six ni utaratibu upi natakiwa nifanye kabla ya kuapply chuo tcu...pls

Humu huwa hatutumii hizo xaxa, xixi unaeza ona watu hawakujibu kwa sababu ya hilo kosa
 
Je pesa ya kusoma tution ni sh ngapi?UDSM ndo chuo pekee njaa ya maprof na Phd holder ndio wanafundisha tution pale changanyikeni
 
Back
Top Bottom