Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Huyu mdada alukuwa miss world 2001 hadi leo she looks like teeneger, I just imagine Wema angekuwa miss Tz 2001 mwaka huu na dhani Bi hindu angeonekana pacha wake.
Huyu mdada alukuwa miss world 2001 hadi leo she looks like teeneger, I just imagine Wema angekuwa miss Tz 2001 mwaka huu na dhani Bi hindu angeonekana pacha wake.
Haaaaahaa bi Hindu?tatizo hii mi-casstle lite + michemsho + kitimoto + endless ngono + mkorogo - mazoezi= kitambi within a year,ivi Sepetu alikua mwaka gani?
au bibi bomba ingemhusu kabisa.
Mwaka 2006 lakini sasa mwangalie alivyo kongoroka ha Odemba anaonekana mdogo kwake.
Sema uyu binti nae kajitahidi kutumika soon after crowned as miss Tz alafu kawapa sana masela ambao neno kutunza mzigo ni shida full kumkimbiza mpelampela mpaka exp date yake imewahi ukimcheki K-lyn na Odemba bado wapyaaaa.
mhh jamen tuseme tu lakini tujue kwamba hatujaumbwa sawa dunian .....kuna watu wanene, wafupi warefu n.k. wakati mwingine mtu unaweza kuwa na asili ya unene tu unaweza kufanya diet hadi upate kwashakoo lakini unene utakuja tu

Na Carolite nazo tumeumbwa nazo tuu tumezaliwa weusi ila tunajikuta tu kadiri tunavyozeeka tunakuwa weupe eeh.
Unasafiri kwenda kwa mamiss au??
sijazungumzia carolite wala rangi hapa nimezungumzia maumbo....
Na yale maumbo bandia nayo yanakuja automatically tu atii.
sna habari ya ligi na ww kama mgumu kuelewa utajiju...