Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Leo nawapa somo wadada,kabla sijasafiri muda huu.Huyo dada ashawai kuwa miss world ni miaka mingi sasa lakin ameweza kujitunza vizuri.Ukiangalia mamiss wetu wa kipindi cha nyuma sasa washakuwa manyama uzembe.
Pia ukimuangalia uyo dada utagundua ngozi nyeusi ni nzuri ,mambo ya kujichubua siyo kabisa.Huyo miss anatokea Nigeria na aliwai kushinda miss world kipindi cha nyuma.
Kwa hayo mafupi mamiss mliopo JF mtakuwa mmenielewa haya kwa wana JF wa Kuala Lumpur ( Malaysia),Manila philipines na Entebe,Kampala Uganda tutafutane nakuja.
Tutaonana umu jukwaani sikukuu zikiisha