Former Miss World, Agbani Darego Without Make-up

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
1678503_Agbani-Darego_pngb3e3ad8670158780a4ef3ec9fa865e05

1678505_agbani_oo_png5d517761935896476e96b94a409aa6b8

Leo nawapa somo wadada,kabla sijasafiri muda huu.Huyo dada ashawai kuwa miss world ni miaka mingi sasa lakin ameweza kujitunza vizuri.Ukiangalia mamiss wetu wa kipindi cha nyuma sasa washakuwa manyama uzembe.

Pia ukimuangalia uyo dada utagundua ngozi nyeusi ni nzuri ,mambo ya kujichubua siyo kabisa.Huyo miss anatokea Nigeria na aliwai kushinda miss world kipindi cha nyuma.
Kwa hayo mafupi mamiss mliopo JF mtakuwa mmenielewa haya kwa wana JF wa Kuala Lumpur ( Malaysia),Manila philipines na Entebe,Kampala Uganda tutafutane nakuja.

Tutaonana umu jukwaani sikukuu zikiisha
 
Huyu mdada alukuwa miss world 2001 hadi leo she looks like teeneger, I just imagine Wema angekuwa miss Tz 2001 mwaka huu na dhani Bi hindu angeonekana pacha wake.
 
Haaaaahaa bi Hindu?tatizo hii mi-casstle lite + michemsho + kitimoto + endless ngono + mkorogo - mazoezi= kitambi within a year,ivi Sepetu alikua mwaka gani?
 
Mwaka 2006 lakini sasa mwangalie alivyo kongoroka ha Odemba anaonekana mdogo kwake.
 
Sema uyu binti nae kajitahidi kutumika soon after crowned as miss Tz alafu kawapa sana masela ambao neno kutunza mzigo ni shida full kumkimbiza mpelampela mpaka exp date yake imewahi ukimcheki K-lyn na Odemba bado wapyaaaa.
 
Yeah yani wote wa nyuma yake ni warembo kumshinda yeye
 
mhh jamen tuseme tu lakini tujue kwamba hatujaumbwa sawa dunian .....kuna watu wanene, wafupi warefu n.k. wakati mwingine mtu unaweza kuwa na asili ya unene tu unaweza kufanya diet hadi upate kwashakoo lakini unene utakuja tu
 
Si kweli.
 
Na Carolite nazo tumeumbwa nazo tuu tumezaliwa weusi ila tunajikuta tu kadiri tunavyozeeka tunakuwa weupe eeh.
 
Back
Top Bottom