Watu walikimbilia wet. Sema Ile mvua imepelekea kua chaos.Hamilton leo kanifurahisha sana,sikutegemea kama angepata hata nafasi ya 5, ila alionyesha uvumilivu mkubwa sana, maana wenzie walibadilisha tyre ila bado akakomaa na soft,
Ni kweli kabisa, maana walioanza ja soft wote lap ya kwanza ama kwenye ile formation lap walibadilisha, ila mwishoni karibia wote walimaliza na soft, mbio za vurugu vile huwa ninazopenda sana, mbio za namna hii tumezoea kuziona Mexico na Brazil.Watu walikimbilia wet. Sema Ile mvua imepelekea kua chaos.
Me Monaco naipenda. Hii Bahrain haitabiriki, Kuna race iliwahi Kuna na 50 degrees joto. Watu walikua wanaishia njiani. Cha kufia niniNi kweli kabisa, maana walioanza ja soft wote lap ya kwanza ama kwenye ile formation lap walibadilisha, ila mwishoni karibia wote walimaliza na soft, mbio za vurugu vile huwa ninazopenda sana, mbio za namna hii tumezoea kuziona Mexico na Brazil.
now Ferrari wameshuka sana , hamilton nae anazeeka sasaMixture ya gari, Sheria mpya na ushindani. Ila sahivi Ferrari angalau sio kama Mercedes misimu ya mwishoni.