#TeamFerrari Podium inanukia
Welldone hapo Kama mcheza Bet ungempata mshiko wa Nguvu.hamilton kiboko...7th now from 20th soon atakuwa 2nd
majanga yanamuandama....gari inazingua kila akijaribu kufurukuta....ataanzia namba 15 trust me anamaliza top 5...kesho ndio mtaona gari inavyoendeshwa......
Welldone hapo Kama mcheza Bet ungempata mshiko wa Nguvu.
Leo nilikata tamaa hata kutizama mpaka nilivyopata msg Hamilton yupo kwenye top 5 sio mbaya Leo ila ndio ajirekebishe kuliko kujuta kila siku bora ningefanya hivi na vile welldone Hamilton ila hongera zaidi Mkoloni ah Leo Alonso kajitoa Jasho.
Hamilton ndiye man of the match
Haya Kamanda! Hongereni! Ila race ilikuwa njema sana... Zaidi Hamilton ashukuru mzinga wa Massa... Manake pale mbele pasingetosha!Kibunango....upo??!! Hamilton has zipped past Alonso - so quickly, in fact, that the move was missed by the TV race director!achana na mercedes kaka....je angeanza namba moja?
Mkuu Riciardo unampotezea? Dogo amefanya mambo makubwa sana leo maana alitoka pos 5 akaenda 15 na karudi kumalizia 6. I'm sure gari yake ingekuwa na pace km ya Williams tu, hata Nico angemkoma dogo...Hamilton ndiye man of the match
Wengi tulitegemea kuja kwa Safety car baada ya spin ya Sutil, Hata jamaa wa Hamilton walitumia spin hiyo fasta kumuingiza Hamilton pit, ili atoke kabla ya Safety Car kuingia...Swali zuri
cc; Kibunango
Kilichofurahisha ni kwa Alonso kumpa somo Ricciardo! Manake RedBull wangeitambia sana Ferrari!Mkuu Riciardo unampotezea? Dogo amefanya mambo makubwa sana leo maana alitoka pos 5 akaenda 15 na karudi kumalizia 6. I'm sure gari yake ingekuwa na pace km ya Williams tu, hata Nico angemkoma dogo...
Hongereni Mercedes, mwaka huu ni wenu. Next ni Hungary....
Kilichofurahisha ni kwa Alonso kumpa somo Ricciardo! Manake RedBull wangeitambia sana Ferrari!
Mkuu, Williams wanatumia engine sawa na ya Hamilton, Botas alikuwa na speed kwenye straight lane ndio maana alishindwa kumpita kwa laps tatu zilizobaki. Sio rahisi ku ovvertake gari yenye nguvu sawa kama vile alivyowapita akina Alosnso..mkuu...mercedes haina mpinzani,hata akianza wa mwisho atakaemsumbua ni mercedes mwenzie tu....huyu bottas kapona kwa sababu ya matairi tu otherwise alikuwa anapitwa kama kasimama....!ricciardo kapitwa mara mbili au zaidi leo,akina alonso wanapitwa bila upinzani wowote...mercedes wako dunia ya peke yao msimu huu.
Kumbuka pale ni Germany, na Nico ni Mgerman, kwa hiyo lazima ashinde, wangeingiza safety car ile gap ingefutwa na Hamilton angeshindaWengi tulitegemea kuja kwa Safety car baada ya spin ya Sutil, Hata jamaa wa Hamilton walitumia spin hiyo fasta kumuingiza Hamilton pit, ili atoke kabla ya Safety Car kuingia...
Ila naona mawazo ya stewards yalikuwa vingine... Kimsingi SC ilitakiwa kuingia!