Imebidi nifungue BBC F1 Column, hii itakua ya aina yake mbona? Ila madereva waliozoea kubebwa kama kina Rosberg itakula sana kwao
Kwa mtu kama NR6 ambaye anategemea sana radio imekula kwake mazima. Ila FIA nao wana vituko sana, lots of changes katikati ya msimu. Tutaona kitakachotokea Singapore next week
Ila hiki kipengele naona kitaleta shida
"Teams would still be allowed to tell their drivers when to come in for a pit stop, information about other cars on track, or team orders"
Lakini kwa upande mwingine ni kuwa mpaka upate msaada wa team orders kwa mfano LH anavyoambiwa amruhusu NR apite ni lazima uwe umekomaa haswaa huko kwenye kona, brakes, utumiaji wa tairi na mafuta la sivyo hizo team orders hazitawasaidia watu wa mbeleko kama NR
Hamilton atawaliza sana hhawa wajerumani
Na Fernando
Huyoo anaitwa the experienced bull dog maana jamaa ana njaa Kali sanaa
Hahahahahahahaaa, haya kila la kheri Vs Man City
Hahaha hii radio issue itawamaliza wengi sanaa aisee
Asinge lock kwenye term one tofauti ingekuwa kubwa zaidi,
Hamilton on pole over Rosberg by 0.007secs
Singapore ... .. ...
Asinge lock kwenye term one tofauti ingekuwa kubwa zaidi,
I hope kesho Roseberg apate ajali au gari iharibike ili tusawazishe points then tunamuacha jumla
TEAM LEWIS HAMILTON
Tuombe brakes zisimsumbue dogo.Mkoloni Mkoloni bila utajiri wetu asingeringa sasa atulie tuombe mungu Hamilton amalize salama na nafasi ya kwanza na Rosberg gari aweke nje kila siku Hamilton tu naye ajifunze kuogelea maji ya Chumvi sio kila siku yupo kwenye swimming pool.
Tuombe brakes zisimsumbue dogo.
Naona gari nyingi zinapata ujumbe kuwa brakes ziko hot..
Roseberg out!Brakes naona zinasumbua wengi... leo williams siwaoni kabisa.
Alonso kaanza poa ila 1st chicane imemcost...
Rosberg anashindwa kumpita Erikssen hahaha.