DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 296
Imebidi nifungue BBC F1 Column, hii itakua ya aina yake mbona? Ila madereva waliozoea kubebwa kama kina Rosberg itakula sana kwao
Kwa mtu kama NR6 ambaye anategemea sana radio imekula kwake mazima. Ila FIA nao wana vituko sana, lots of changes katikati ya msimu. Tutaona kitakachotokea Singapore next week