Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Yule schumacher kashinda mara saba LH mara nne, umri unaweza kuwa kikwazo kwa LH kufikisha 7 titles.
Umri hautakuwa tatizo sana. Schumacher alikuwa 32 aliposhinda mara ya nne sawa na umri wa Louis leo. Pia Alonso 36, Raikkonen 38 bado wanaendelea. Massa Webber, Button retired at 36. Schumacher at 43. We wish well today in Brazil.