Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

48b8c09f3e71f4341d204d7f114d0960.jpg
Nawapa pongezi madereva wa fomular one usukani kama huu vitufe vyote hivi inabidi kichwa kifanye kazi hapo hapo team radio hapo hapo safety car speed limit kwenye pit stop na Detection point zone ubonyeze DRS na speed mpaka 350KMH, dahh hawa jamaa tuwaache tu ukiona nje unasema dereva fulani hana mguu.Hapo gear mpaka namba 8 [emoji15] hatari tupu
 
37494bb9ac641e140822e5ce9893dc62.jpg
kijana mwache avunje rekodi aisee katoka mbali sana toka enzi yupo Kart alikuwa anamzimia Ayrton Senna.Ron Dennis mwaka 2007 alipompeleka Maclaren pembeni yake yupo Fernando Alonso munakumbuka kipindi kile Alonso alikuwa ni bingwa wa dunia mara 2. Walimaliza msimu wakiwa point sawa kama siyo lile tatizo la gari kunasa kwenye mchanga china angekuwa dereva mdogo kwenye historia ya F 1 kushinda ubingwa wa dunia mwaka wake wa kwanza japo alishika nafasi ya pili.Ilikuwa mwaka ambao ilitokea Spy story[emoji16][emoji16]
 
Engine failure. Tena ni injini mpya aliyoweka malaysia.. Sasa austin sijui itakuwaje. Na mercs zilivyofasta kwenye straight. Sioni ferrari hakisogea karibu hata kidogo...

Uko sahihi, Races zilizobaki nyingi zitaisaidia zaidi Mercs and Lewis strong points than Ferrari.
 
Hiv anaweza kuja mpita yule mkongwe wa Langa Langa Michael Shummacher?
 
48b8c09f3e71f4341d204d7f114d0960.jpg
Nawapa pongezi madereva wa fomular one usukani kama huu vitufe vyote hivi inabidi kichwa kifanye kazi hapo hapo team radio hapo hapo safety car speed limit kwenye pit stop na Detection point zone ubonyeze DRS na speed mpaka 350KMH, dahh hawa jamaa tuwaache tu ukiona nje unasema dereva fulani hana mguu.Hapo gear mpaka namba 8 [emoji15] hatari tupu
Hivi hawa jamaa ukiwapa yale magari mengine ya racing achilia Langa Langa bado wanaweza ku perform the same?
Au ni wabobez wa hayo tu .
 
Hiv anaweza kuja mpita yule mkongwe wa Langa Langa Michael Shummacher?

Yule jamaa alishinda ubingwa wa dunia mara 7 vettel mara 4 pamoja na Alan prost.na anayefuatia mara 4 atakuwa Lewis.kama gari itakuwa nzuri na jamaa kama atadumu kwenye F1 naona nafasi ya kumpita anayo.
 
Hivi hawa jamaa ukiwapa yale magari mengine ya racing achilia Langa Langa bado wanaweza ku perform the same?
Au ni wabobez wa hayo tu .
Ndio wanaweza kuperform vizuri sana. Kimi raikonnen aliwahi kuendesha gari za mashindano ya rally. Nico Hulkenberg aliwahi shinda 24 endurance series maarufu kama le mans...

Hawa jamaa wanaoendesha gari za langalanga ndio madereva bora kabisa wa magari duniani. Spidi wanaoendesha ni hatari, teknologia ya hayo magari ni kubwa mno...
 
Daa.. shukrani sana kiongozi. Bado niko nyuma ila huwa napenda kufuatilia.
 
Back
Top Bottom