DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,011
- 3,471
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine failure. Tena ni injini mpya aliyoweka malaysia.. Sasa austin sijui itakuwaje. Na mercs zilivyofasta kwenye straight. Sioni ferrari hakisogea karibu hata kidogo...Reliability problem....
Engine failure. Tena ni injini mpya aliyoweka malaysia.. Sasa austin sijui itakuwaje. Na mercs zilivyofasta kwenye straight. Sioni ferrari hakisogea karibu hata kidogo...
Its done...see u next week at the CEREMONYKila la kheri kwa Lewis kesho
Hivi hawa jamaa ukiwapa yale magari mengine ya racing achilia Langa Langa bado wanaweza ku perform the same?Nawapa pongezi madereva wa fomular one usukani kama huu vitufe vyote hivi inabidi kichwa kifanye kazi hapo hapo team radio hapo hapo safety car speed limit kwenye pit stop na Detection point zone ubonyeze DRS na speed mpaka 350KMH, dahh hawa jamaa tuwaache tu ukiona nje unasema dereva fulani hana mguu.Hapo gear mpaka namba 8 [emoji15] hatari tupu![]()
Hiv anaweza kuja mpita yule mkongwe wa Langa Langa Michael Shummacher?
Ndio wanaweza kuperform vizuri sana. Kimi raikonnen aliwahi kuendesha gari za mashindano ya rally. Nico Hulkenberg aliwahi shinda 24 endurance series maarufu kama le mans...Hivi hawa jamaa ukiwapa yale magari mengine ya racing achilia Langa Langa bado wanaweza ku perform the same?
Au ni wabobez wa hayo tu .
Yule schumacher kashinda mara saba LH mara nne, umri unaweza kuwa kikwazo kwa LH kufikisha 7 titles.Hiv anaweza kuja mpita yule mkongwe wa Langa Langa Michael Shummacher?
Nilikwambia tukutane kwenye sherehe za ubingwa!Hongeraaa sana Lewis japo Vettel alijaribu kukuzibia
Daa.. shukrani sana kiongozi. Bado niko nyuma ila huwa napenda kufuatilia.Ndio wanaweza kuperform vizuri sana. Kimi raikonnen aliwahi kuendesha gari za mashindano ya rally. Nico Hulkenberg aliwahi shinda 24 endurance series maarufu kama le mans...
Hawa jamaa wanaoendesha gari za langalanga ndio madereva bora kabisa wa magari duniani. Spidi wanaoendesha ni hatari, teknologia ya hayo magari ni kubwa mno...