Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Yule schumacher kashinda mara saba LH mara nne, umri unaweza kuwa kikwazo kwa LH kufikisha 7 titles.
Vettel ameshinda race baada ya vsc kufanya yake.
Naona leo bahati ilikuwa upande wake.
Mercedes/hamilton bado wana gari iliyokamilika. Itakuwa ngumu kuwashinda kwa mwaka huu.
Ilikuwa shida kuovertake leo, pamoja na kuwa na gari nzuri, vsc na sc. . Hata mwamba wa kuovertake kwenye mazingira magumu Max Verstappen leo kashindwa kabisa kuovertake ....Ni kweli kabisa ila Mercedes naona wataamka tena Bottas naye boya sana jana kafanya uzembe
Hii circuit haina tofauti na ya monaco, sochi, hungary na singapore. Ni ngumu kuovertake kwenye circuit hizo. Hivyo track position ni muhimu sana.Ilikuwa shida kuovertake leo, pamoja na kuwa na gari nzuri, vsc na sc. . Hata mwamba wa kuovertake kwenye mazingira magumu Max Verstappen leo kashindwa kabisa kuovertake ....
Yupo fit, ila Mercedes kidogo wamekosa speed huko Bahrain katika Qualification ... nategemea atatoa upinzani wa nguvu wakati wa race....
Dah!Halafu kipindi nashindwa kuelewa mkataba wake mpya na Mercedes dahh yaani mimi Ferrari siwapendi sana halafu ndiyo ukicheki nipo karibu kabisa na makao yao hapa Modena
Dah!
Mie ni mpenzi mkubwa sana wa Ferrari na kesho tegemea maumivi zaidi ....Aidha kuna kila dalili ya Hamilton kuendelea kuwepo Mercedes unless otherwise Lewis mwenyewe aamue kustaafu!
Kwa Ferrari wanapewa upendeleo fulani kwa kuwepo muda mrefu kwenye mashindano haya...
Huyo Marchionne mtazame tu.... !