Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa burudani imebaki kati ya vita ya madereva wawili wa kapuni moja kushindania drNaona leo ni siku ya Vettel ...
Sijakusoma vyema hapo ebu chek standing ilivyo baada ya mtanange wa j2Sasa burudani imebaki kati ya vita ya madereva wawili wa kapuni moja kushindania dr
ivers championiship.
Mwaka jana LH hakuweza kumaliza kutokana na tatizo la brake! Kwa maneno mengine unamtabiria kuwa na bahati mwaka huu?... Red Bull katika Yas Marina ni wazuri sana....Na imebaki race moja tu
Muujiza ambayo hauitegemewi kutokea ni waliojuu watatu wapate matatizo then LH apate ushindi
Abu Dhabi Grand Prix
Yas Marina, 12-14 November 2010
Fri 12 Nov: Practice 1 0900-1030; Practice 2 1300-1430
Sat 13 Nov: Practice 3 1000-1100; Qualifying 1300
Sun 14 Nov: Race 1300
Race Date: 14 Nov 2010
Number of Laps: 55
Circuit Length: 5.554 km
Race Distance: 305.361 km
Lap Record: 1:40.279 - S Vettel (2009)
Inaonekana hata LH anaomba miujiza itokee kama alivyonukuliwa hapa chini..Na imebaki race moja tu
Muujiza ambayo hauitegemewi kutokea ni waliojuu watatu wapate matatizo then LH apate ushindi
Abu Dhabi Grand Prix
I'm still in the hunt for the drivers' championship, but I'm 24 points down, so I have nothing to lose now. In Abu Dhabi I'll be doing everything I can to pull off the win I need, and hoping the other guys hit problems.
Zile non alcohol champagne Kijana wangu LH kajitahidi ndo hivyo tena ...next yearHizo Champagne mbona zinawafikia hao wafalme wa abu dhabi???!!!!
Wakati Zanzibar wanakataa udhamini wa baadhi ya brand ( hasa bia) kwenye michezo.
Position Driver Country Team Points
1 Sebastian Vettel Ger Red Bull-Renault 256
2 Fernando Alonso Spa Ferrari 252
3 Mark Webber Aus Red Bull-Renault 242
4 Lewis Hamilton GB McLaren-Mercedes 240 Next year Ham
5 Jenson Button GB McLaren-Mercedes 214
6 Felipe Massa Brz
Red Bull ushindi huu wanastahili