LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,241
- 940
Namchukia Alonso! afadhali SV kashinda!:smile-big:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheeeeee eeeh eeeeh...! Haya swahibamkuu anzisha special threaad ya 2011... its gonna be more exciting kuliko ya last year
halafu swahiba upunguze pumba kuleee kwenye kijani aisee
Ngoja niwasiliane na utawala...Hii thread kumbe ipo, nimeitafuta ile mbaya..Kibs edit heading!!
Kha! naona Vettel kaanza kwa kishindo..I'm always with Hamilton na nafasi anayo kwa sana!!
Shanghai GP is underway now...!
Hii thread kumbe ipo, nimeitafuta ile mbaya..Kibs edit heading!!
Kha! naona Vettel kaanza kwa kishindo..I'm always with Hamilton na nafasi anayo kwa sana!!
Ferrari mwaka huu wanasua sua, Labda watazinduka kwenye mzunguko wa Ulaya! Kwa Asia wamechemka...and L.Hamilton won, excellent performance from him!!..F1 rocks🙂)
Kibs, Ferrari niaje? F. Massa naona kasi ndogo sana au ndiyo anavuta pumzi??!!
Huyo mjepu kesho ana kazi ya ziada... kwani yupo kwenye position ya 24, baada ya matatizo ya engine, ila anaweza kumaliza kwenye pointi kama atatulia.mwaka huu naona racing itakuwa nzuri nilipenda ile ya china Webber alivyokuwa postion ya nyuma kabisa lakini akaweza kumaliza wa 3
Ukiondoa hamilton kuna kajamaa kajapan kanaitwa kobayashi mi nakafurahia sana. kakipata gari gari makini ni moto.
Huyo mjepu kesho ana kazi ya ziada... kwani yupo kwenye position ya 24, baada ya matatizo ya engine, ila anaweza kumaliza kwenye pointi kama atatulia.
Binafsi kesho naona ni nafasi ya Mercedes kuingia kwenye podium, King'ang'anizi Hamilton ana kazi kubwa ya kulinda magurudumu yake!