Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Wakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,

Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.

Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Mashindano haya yalikuwepo hadi early 90s,lizards tuna matatizo makubwa hope's mwakani yatarudi pale Kayalami, yes mkuu kuona live gari inapeperuka kwa more than 300km/hrs ni joy kubwa, tuendelee kuomba
 
5 wins in row [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Super max.. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,

Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.

Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Average speed ni kati ya 320 na 350 kph.
 
Max claim sec world champion
Screenshot_20221009-191442.jpg
 
Japanese Grand Prix ilikua worst. Aisee ile mvua ata starehe haikuwepo. Nimekuta sehemu kuna dereva analalamika, ata DRS sijui kama ilikua na maana maana unavuta maji yoote ya dereva wa mbele.
 
Je Max Verstappen ataendelea alipoishia? Au ni Charles Lecreac na Ferrari watapindua meza msimu huu?
Fernando Alonso naye yupo vizuri na anategemea kuleta ushindani.
Lewis Hamilton na Mercedes bado wanajiuliza walipojikwaa msimu uliopita hivyo tutegemee msimu wenye ushindani mkubwa Kwa timu hizo nne hapo juu
 
Back
Top Bottom