Mashindano haya yalikuwepo hadi early 90s,lizards tuna matatizo makubwa hope's mwakani yatarudi pale Kayalami, yes mkuu kuona live gari inapeperuka kwa more than 300km/hrs ni joy kubwa, tuendelee kuombaWakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,
Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.
Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]