Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Practice 2 nayo tayari

1000123443.png
 
Last year, Max alishinda drivers championship hapo Suzuka, Na mwaka huu Red bull watatangazia Constructors championship hapo hapo Suzuka
 
Ila Ferrari na Maclaren Bado Wako na Pace Nzuri na Alpha nao wanaonekana watakaza.
Huyu dogo Yuki nahisi ni gari ndio linamuangusha. Skills anazo. Practice 1 alifanya vizuri kamtupa Hamilton mbali ata P10 hajagusa.

Ngoja tuone Kesho, qualifications itasemaje. I wish dogo apate team nzuri. Nishawahi mfatilia kwenye documentary flani akiwa Formula 3 na Formula 2, aisee. Ana kitu.

BTW, viva #Max
 
Inasemekana Ufundi Magari ndo Ulomlea, Yaani Amekua Akizungukwa na Mechanical.
So gari Analijua Vizuri.

Nahisi Kufanya Vizuri Pia Kwenye F1, Inategemea na Gari, Yaani kuna Ile Gari Likuweze ama Uliweze. Speed ya gari ni Muhimu Sana Kufanya Vizuri.

Nakutengeneza Gari nzuri inahitaji Pesa, ndomana Unaona ata Mfano wa Haas wanavyostruggle ama izi Wanaziita Mid table teams Kumaintain Bajeti ili Kuendana ama Kushindana na Izi Big Teams.

Kwaiyo Unaweza kua Driver Mzuri na Uko tayari Kupush Bila Kuogopa Kitachoenda tokea ila gari Likakuangusha.
 
Nilisikia Hamilton msimu ulioisha akisema itawachukua MB miaka 3 au zaidi kua na gari bora zaid ya RB.

Nishawahi sikia enzi zile gari la Russell walikua wanali detune lisiwe kama la Hamilton. Sidhani kama ukweli.
 
Ata Kwa Sasa Unaona Utofauti wa Gari ya Max na Checo, Sasa Nashindwa elewa kwa Checo ni gari Alijamuweza ama Nalo liko toafuti.
 
Back
Top Bottom