Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

Huyo shemela baba yake pia anapesa? Maana isijekuwa Baba yake mwenyewe kajichokea tu lakini mama yake hakumkimbia.

Kwenye kiapo cha ndoa mnaapa kupendana katika shida na raha, iweje mwanamke anataka kipengele cha raha tu?
 

Chief, heshima yako!
Bado anahitaji nasaha? If so, karibu PM. [emoji120]
 
Ujawahi kuniangusha hakika ,,
 
Uzi mzuri kwahiyo taikoni huu Uzi umelenga kuwa MTU anabidi kuacha baadhi ya mambo ili kufanikiwa.

Na kuondoka katika mazingira uliyozaliwa ili utafute maeneo mengine ya kuishi ?


Robert Heriel Mtibeli

Umenielewa Kwa ûzuri Mkûu.
Lakini siô lazima uondoke kwèñu kama mazîngira yapo mazuri ya kufanikiwa.
Kuondoka kwèñu inahusisha pia kuachana na Mila potofu na Makosa ya Ûkoo wenu. Yàani Yale yaliyokosewa na Wazee wako Huku ukishikilia mambo Yao waliofanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…