Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Mwenge ulianza kuwashwa zamani kabisa kabla ya Uhuru na chifu Burito Nyerere katka eneo lake la utawala
 
Alikuwa na uwezo wa kuongea na shetani kwa nini hakumtumia shetani kuwachapa wakoloni? wafanya biashara ya utumwa kwa nini hakuwakomesha? POrojo hizi alikuw amasalia ya watumwa huyo
 
Umetwis maneno ni "UMULIKE MPAKA NJE YA MIPAKA YETU" maana ke umulike ndani mpaka nje kwasababu kuna neno "mpaka."
 

Hawa wazee walienda kufanya tambiko. Bagamoyo. Tambiko lile lilihusu nini?
 
Alikuwa na uwezo wa kuongea na shetani kwa nini hakumtumia shetani kuwachapa wakoloni? wafanya biashara ya utumwa kwa nini hakuwakomesha? POrojo hizi alikuw amasalia ya watumwa huyo
Mzee huyu Shekhe Yahya Hussein alimuheshimu sana. Labda alimfunza kitu
 
Pakaleo Waislam ndio wamejazana matambikoni
 
Pakaleo Waislam ndio wamejazana matambikoni

Umehamia huku baada ya kufungwa ukumbi wa dini ??? Muulize Gwajima na uponyaji na ufufuo wake , sasa anagombea Ubunge , anajaribu kutumikia mabwana wawili
 
Umehamia huku baada ya kufungwa ukumbi wa dini ??? Muulize Gwajima na uponyaji na ufufuo wake , sasa anagombea Ubunge , anajaribu kutumikia mabwana wawili
Ukumbi mbona upo au umetolewa?
 

Mimi nilisoma na Jackson Makwetta Minaki High School na najua jinsi alivyoanza siasa akiwa Mwalimu pale IDM Morogoro lakini kuwa alikuwa chaguo la Watanzania kuwa Rais Mwaka 1995 mbona sina kumbukumbu nalo!! Hebu mwenye kujua zaidi atuelimishe juu ya tukio la mwaka 1995 Makwetta kukosa Urais!!!
 
Bulesi kumbe Wewe Ni Mzee Wetu?!!!

Shikamoo Baba Mzee Bulesi!!

Kwa heshima na Taadhima Nanyenyekea Kiadabu Kwako🙏🙏.

Huyo Mzee, Kiongozi Nguli Jackson Makwetta, aliyepata kushika NYADHIFA Katika WIZARA NYINGI nimekuja kumjulia kupitia Kusoma Magazeti Ya Mfanyakazi Na Uhuru Yaliyohifadhiwa na Wazazi Wangu Na pia kutoka Shajara za viongozi wetu waliopita Katika Taifa Letu Pendwa na bora.

Nakumbuka Nilisoma kuwa Kwao Ilikuwa ni Njombe,na alishika UWAZIRI wa Elimu,Nishati,Ulinzi na nyinginezo.

Nitashukuru Sana Ukitueleza Mengi Kumhusu Jabali Huyo,hususani nyakati za Maisha yenu pale Minaki.

Nitashukuru Sana Mzee Wangu,Mwenyezi Mungu Wa Waafrika akubariki Sana aaamin aaaamin.

Jumbe Brown
Kijana Muuza Al Kasus,
Tandale
 

Jackson Makwetta baada ya kumaliza High School pale Minaki ambako alisoma na wakina William Kusila [ ambae nae alikuja kuwa waziri wa Kilimo kwa muda enzi ya Mkapa] alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[ enzi hizo University of East Africa] ambako alifanikiwa kufuzu shahada ya B.A [ education} . Alijiunga na chuo cha IDM Morogoro kama mkufunzi kwa muda na baada ya hapo ndio akajitosa kwenye siasa na akawa mbunge wa Njombe. Mtu aliyemuibua na kumshawishi kuingia kwenye siasa na hata kushinda ubunge kwa mara ya kwanza alikuwa marehemu Ibrahim Kaduma.

Alikuwa mbunge wa constituncies nyingi za Njombe baada ya kugawanywa. Akiwa mbunge alibahatika kuwa waziri wa wizara mbali mbali lakini alifanikiwa sana alipoiongoza wizara ya ELIMU!!!! Kwa kifupi ni hayo. R.I.P. Jackson
 
Si haba...ahsante Sana Comrade🙏🙏 Nimefaidika Vyema!

Rip J.Makwetta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…