Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Mwenge ulianza kuwashwa zamani kabisa kabla ya Uhuru na chifu Burito Nyerere katka eneo lake la utawala
 
Alikuwa na uwezo wa kuongea na shetani kwa nini hakumtumia shetani kuwachapa wakoloni? wafanya biashara ya utumwa kwa nini hakuwakomesha? POrojo hizi alikuw amasalia ya watumwa huyo
 
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU"..... Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa? Na kwann Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge?
Umetwis maneno ni "UMULIKE MPAKA NJE YA MIPAKA YETU" maana ke umulike ndani mpaka nje kwasababu kuna neno "mpaka."
 
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU"..... Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa? Na kwann Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge?

Hawa wazee walienda kufanya tambiko. Bagamoyo. Tambiko lile lilihusu nini?
 
Alikuwa na uwezo wa kuongea na shetani kwa nini hakumtumia shetani kuwachapa wakoloni? wafanya biashara ya utumwa kwa nini hakuwakomesha? POrojo hizi alikuw amasalia ya watumwa huyo
Mzee huyu Shekhe Yahya Hussein alimuheshimu sana. Labda alimfunza kitu
 
Nakuomba uwe na hekima unapo ongelea kitu sensive kama dini za watu ambazo huzifaham kabisa
Kimsingi Uislam hauna shida yoyote pengine una nguvu ya hali ya juu ya kuweza hata kuamrisha viumbe kama wengine kama majini yaka tii au upepo nk hivyo baadhi ya watu wanautumia Vibaya
Nikupe mfano rahisi kuelewa; unaweza kuwa na kisu, kuna wengine wanakitumia kukatia vyakula jikoni, kuvunia mahindi/mazao nk ILA kuna wengine wanakitumia kama silaha ya ujambazi na kuulia watu
Mwisho wa siku; Kisu sio kibaya, tatizo ni watu wanao kitumia kisu

Uislamu ni Dini Pekee ambayo kwa waliosoma Vizuri, waka amini na wakafanya matendo mema wanaweza kufanya mambo mengi mazuri (ambayo watu wa kawaida hawawezi) kwa kutumia maandiko ILA pia watu wasio na nia njema hutumia mwanja huo vibaya kwa kufanya mambo yasiyo mema.
Nivizuri kuuliza upate ufafanuzi kwa jambo usilolijua kwenye Dini za watu wengine na sio kuandika kwa Kashfa
"NAOMBA TUHESHIMU DINI ZA WATU WENGINE"
Pakaleo Waislam ndio wamejazana matambikoni
 
Umehamia huku baada ya kufungwa ukumbi wa dini ??? Muulize Gwajima na uponyaji na ufufuo wake , sasa anagombea Ubunge , anajaribu kutumikia mabwana wawili
 
Ukumbi mbona upo au umetolewa?
 
hiyo ni hali halisi kabisa na huyo mtoto huongozwa na mapepo yenyeuhusiano na jambo hili kimwonekano,bagamoyo ndilo eneo palipo uawa nhi yetu kimaendeleo,kielimu,kiuchumi na kadhalika,baada ya kuuawa kwa taifa letu hapo bagamoyo likaenda kuzikwa kule Lindi kwa zindiko la nchi,kunawatanzania wenzetu wanateseka hadi kesho pale lindi ndani ya shimo lizungukalo wakiwa wamewekwa humo kama zindiko,hii mada ya zindiko nitawaletea hiv karibuni muone tulivyowekwa gizani kwa bila kujijua watanzania,Wanalindi watakuwa masikini hadi kufa kwao kizazi na kizazi,pia utatambua ni kwann Jackson Makweta chaguo la watanzania na mkombozi wa taifa kutoka ukoloni mamboleo hakuchukua urais mwaka 1995 na akazimwa kama mshumaa kisiasa hadi umauti ulipomkuta,lakini pamoja na hayo alikufa akiililia tanzania na watu wake,ZINDIKO LA LINDI LILIFANYA KAZI

Mimi nilisoma na Jackson Makwetta Minaki High School na najua jinsi alivyoanza siasa akiwa Mwalimu pale IDM Morogoro lakini kuwa alikuwa chaguo la Watanzania kuwa Rais Mwaka 1995 mbona sina kumbukumbu nalo!! Hebu mwenye kujua zaidi atuelimishe juu ya tukio la mwaka 1995 Makwetta kukosa Urais!!!
 
Bulesi kumbe Wewe Ni Mzee Wetu?!!!

Shikamoo Baba Mzee Bulesi!!

Kwa heshima na Taadhima Nanyenyekea Kiadabu Kwako🙏🙏.

Huyo Mzee, Kiongozi Nguli Jackson Makwetta, aliyepata kushika NYADHIFA Katika WIZARA NYINGI nimekuja kumjulia kupitia Kusoma Magazeti Ya Mfanyakazi Na Uhuru Yaliyohifadhiwa na Wazazi Wangu Na pia kutoka Shajara za viongozi wetu waliopita Katika Taifa Letu Pendwa na bora.

Nakumbuka Nilisoma kuwa Kwao Ilikuwa ni Njombe,na alishika UWAZIRI wa Elimu,Nishati,Ulinzi na nyinginezo.

Nitashukuru Sana Ukitueleza Mengi Kumhusu Jabali Huyo,hususani nyakati za Maisha yenu pale Minaki.

Nitashukuru Sana Mzee Wangu,Mwenyezi Mungu Wa Waafrika akubariki Sana aaamin aaaamin.

Jumbe Brown
Kijana Muuza Al Kasus,
Tandale
 
Jackson Makwetta baada ya kumaliza High School pale Minaki ambako alisoma na wakina William Kusila [ ambae nae alikuja kuwa waziri wa Kilimo kwa muda enzi ya Mkapa] alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[ enzi hizo University of East Africa] ambako alifanikiwa kufuzu shahada ya B.A [ education} . Alijiunga na chuo cha IDM Morogoro kama mkufunzi kwa muda na baada ya hapo ndio akajitosa kwenye siasa na akawa mbunge wa Njombe. Mtu aliyemuibua na kumshawishi kuingia kwenye siasa na hata kushinda ubunge kwa mara ya kwanza alikuwa marehemu Ibrahim Kaduma.

Alikuwa mbunge wa constituncies nyingi za Njombe baada ya kugawanywa. Akiwa mbunge alibahatika kuwa waziri wa wizara mbali mbali lakini alifanikiwa sana alipoiongoza wizara ya ELIMU!!!! Kwa kifupi ni hayo. R.I.P. Jackson
 
Si haba...ahsante Sana Comrade🙏🙏 Nimefaidika Vyema!

Rip J.Makwetta.
 
Back
Top Bottom