Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe hujawahi kunakili na kutunga kitabu au kuandika makala? Jifunze ku appreciate kazi na jitihada za wenzako.Buyobe wa kawaida sana. Taarifa alizo nazo za kawaida sana mtu yeyote akiamua anazipata. Pia Buyobe ni bingwa wa kunakili makala za watu. Hana tofauti na Yericko Nyerere alivyokopi makala za watu na kuziunganisha pamoja hadi kupata kitabu cha ujasusi wa kidola. Hana upekee wowote. Ni mchumia tumbo.
Kwahiyo wote tuwe waandishi? Ku-appreciate jitihada za wizi wa kazi za watu wengine ikoje? Ingekuwa USA huyo Buyobe angeshalipishwa faini kibao. Hata hapa TZ siku akitokea mwandishi mwenye hatimiliki ya kazi yake atamsumbua. Ficha upumbavu wako wakati mwingine.Mbona wewe hujawahi kunakili na kutunga kitabu au kuandika makala? Jifunze ku appreciate kazi na jitihada za wenzako.
Wewe huwezi kuwa mwandishi, huna uwezo huo. Kichwa cha panziKwahiyo wote tuwe waandishi? Ku-appreciate jitihada za wizi wa kazi za watu wengine ikoje? Ingekuwa USA huyo Buyobe angeshalipishwa faini kibao. Hata hapa TZ siku akitokea mwandishi mwenye hatimiliki ya kazi yake atamsumbua. Ficha upumbavu wako wakati mwingine.
Mbona Yericko Nyerere anauza kimataifa, hata Amazon yupo lakini hajashitakiwa ?Kwahiyo wote tuwe waandishi? Ku-appreciate jitihada za wizi wa kazi za watu wengine ikoje? Ingekuwa USA huyo Buyobe angeshalipishwa faini kibao. Hata hapa TZ siku akitokea mwandishi mwenye hatimiliki ya kazi yake atamsumbua. Ficha upumbavu wako wakati mwingine.
Kama umewahi kusoma makala za kwenye gazeti la RAI na baadae Raia Mwema utaelewa nilichoandika. Kama hukuwahi kusoma kaa kimya.Mbona Yericko Nyerere anauza kimataifa, hata Amazon yupo lakini hajashitakiwa ?
Kama huo ndiyo utetezi wako ungeanza wewe kukaa kimya. Ungekuwa na akili ungeleta hizo makala.Kama umewahi kusoma makala za kwenye gazeti la RAI na baadae Raia Mwema utaelewa nilichoandika. Kama hukuwahi kusoma kaa kimya.
Wewe ni mtu usiye na akili kabisa. Ni kuitia najisi JF kuwa na member kama wewe.Kama huo ndiyo utetezi wako ungeanza wewe kukaa kimya. Ungekuwa na akili ungeleta hizo makala.
Mtu na akili zako unawezaje kujenga hoja kipuuzi hivyo. Gazeti la RAI/Raia Mwema limeanzishwa mwaka gani? Tangu kuanzishwa yametoa matoleo mangapi? Waandishi wa Makala ni wangapi, miaka ipi? Ninyi vitoto mnasumbua tu babu zenu humu kwa kuja na nyuzi nyingi na kujibu kila comment na kila mnachoandika ni malapulapu na mataputapu tu
Basi najisi ni kitu chema sanaWewe ni mtu usiye na akili kabisa. Ni kuitia najisi JF kuwa na member kama wewe.
Gazeti la Rai lilikuwana nini?Kama umewahi kusoma makala za kwenye gazeti la RAI na baadae Raia Mwema utaelewa nilichoandika. Kama hukuwahi kusoma kaa kimya.
Makala za mwandishi mkongwe Joseph Mihangwa ambazo Yeriko kakopi na kupesti kama zilivyo.Gazeti la Rai lilikuwana nini?
Kwani Joseph Mihangwa anasemaje kuhusu makala zake kukopiwa na Yericko Nyerere ?Makala za mwandishi mkongwe Joseph Mihangwa ambazo Yeriko kakopi na kupesti kama zilivyo.
Kamuulize yeye.Kwani Joseph Mihangwa anasemaje kuhusu makala zake kukopiwa na Yericko Nyerere ?