Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Wengi wamejibu hadi sasa ila hamjawapa nafasi, chukueni hili, vyvyte buyobe alivyo, awe mtu wa aina yyte, polisi, mtu aliyefukuzwa kazi, huyu jamaa ni google user mzuri sana, plus ana taarifa ya nini afanye. Kupata taarifa nyingi, mfano, yeye anaweza sikia jina direct akagoogle, na asipogoogle kapotea, anaonganisha sana maatukio, hana tukio alilowahi kulitoa kama yeye, (nadhani hapa haata mange kimambi kamshinda, first info before event) Huyu laiti kama angepata watu wengi wakumpa info angekua balaa, ni mwamba mzuri wa narration, inakuvuta unamfata hata kwa kulipia, story ya msuya na wengine, wengi wanazifahamu vizuri, story ni nyingi but who will bring it to your mouth,
Buyobe ni storryteller, huyu kama enzi za shigongo though hajamfikia,
Sasa sasahivi anacheza na trend, hapo ndio patamu na anapowaweza wajinga,
Ni kama boniface mayor yule, amejua kushika hisia za watu through storytelling na vijana wa X wanaokotwa kweli kweli.
Ila ni mtu tu wa kawaida na story zale za kaawaida, hana lakumfanya akamatwe, labda akijikanyaga siku.
Well narrated kasoro kumlinganiaha na Eric Shigongo. Shigongo ni plagiarist tu wa hadithi za watu wengine
 
Ni mjasiriamali tu alie jiajiri kupitia telegram na kufanya promo kupitia X , kama walivyo sema uko juu cases huwa zina elezea kwa uwazi kupitia mashahidi so ata **** aukuepo eneo la tukio uki wasoma walicho sema mashahidi uka narrate vzuri tayari una kua jasusi wa ufipa
 
Hapana Mkuu mimi ni raia mwema ninayekubali kazi zake. Usiwaze vingine
Wenye kazi zao hiyo lugha ni mafundi sana kuitumia. Nadhani ni sehemu ya mafunzo yao.
Hata hivyo, haya tuyaache, si sehemu ya maumivu makali tunayo letewa na hawa wanaojiita wana siasa wa Tanzania; ambao ndio hasa wanao watumia hawa wenye kazi zao kama vifaa/nyenzo.
 
Hata ww ukiamua unaweza unafuatilia kesi mahakamani unasoma papers za kesi mahakamani.....pia uwe na watu wanakutumia information za tukio unalotaka hasa kutoka kwenye mitandao...... kisha uwe na uwezo wa kuandika
Fanya hivyo na wewe tukukute kwenye jalala kwa mganga wa kienyeji kama wenzako walivyokutwa huko Singida.
 
Ni mjasiriamali tu alie jiajiri kupitia telegram na kufanya promo kupitia X , kama walivyo sema uko juu cases huwa zina elezea kwa uwazi kupitia mashahidi so ata **** aukuepo eneo la tukio uki wasoma walicho sema mashahidi uka narrate vzuri tayari una kua jasusi wa ufipa
Duh! Eti jasusi wa ufipa?? Kama Erythrocyte au Yericko Nyerere ??
 
Kwanini wewe usiwe na kitu kama hicho? Kwani unadhani hata wale waandishi kwakubwa kama James Hadley Chase walikuwa wanatunga hadithi zao zote wenyewe?

Hata kama tunabeza lakini tayari Fortunatus Buyobe ni brand kubwa. Kama huamini jaribu na wewe uanze kukusanya kama yeye uone kama utapata followers
Hii comment yako ya kijinga sana. Sasa wote tukiwa waandishi itakuwaje? Kama copy & paste inamlipa ni sawa tu. Pia mimi sijawahi hata kuwaza kutafuta followers kwenye maisha yangu. Wewe ni mtu mjinga sana. Hakika Mungu atakuadhibu kwa kushindwa kutumia akili aliyokupa bure.
 
Kunywa maji upunguze munkari
 
Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
I know you are not asking but you are trying to expose him ….
 
Usisahau TISS wanaweza kuwa wanafanya kazi in reversal engineering, kuwa makini.
 
Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Kwa kuwa yumo humu, naamini atapata muda wa kukujibu. Ila suala la bilionea Msuya inaweza kuwa ni ushahidi unaotolewa mahakamani wakati wa kesi.

Ila jamaa ni mahiri sana wa kusimulia kwa maandishi pamoja na kupangilia matukio kwa namna fulani ya kujenga suspense kwa msomaji wake.

Ova
 
I know you are not asking but you are trying to expose him ….
Nauliza tu. I can't expose him because all the details that I put here, I just copied from his own page in X platform
 
Back
Top Bottom