Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ntaipata wapi taarifa yake kuhusu billionaire Msuya.Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.
Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?
Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Ana account humu JF kama britaniccaHiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.
Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?
Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Naunga mkono hojaBuyobe wa kawaida sana. Taarifa alizo nazo za kawaida sana mtu yeyote akiamua anazipata. Pia Buyobe ni bingwa wa kunakili makala za watu. Hana tofauti na Yericko Nyerere alivyokopi makala za watu na kuziunganisha pamoja hadi kupata kitabu cha ujasusi wa kidola. Hana upekee wowote. Ni mchumia tumbo.
Moja kati ya vitu vinavyompa huu umaarufu ni kukopi na kusimuliwa, huwezi kupeleleza information's kimyakimya huna utakachoambulia,Buyobe wa kawaida sana. Taarifa alizo nazo za kawaida sana mtu yeyote akiamua anazipata. Pia Buyobe ni bingwa wa kunakili makala za watu. Hana tofauti na Yericko Nyerere alivyokopi makala za watu na kuziunganisha pamoja hadi kupata kitabu cha ujasusi wa kidola. Hana upekee wowote. Ni mchumia tumbo.
Hii Ofisi ya Nyaraka iko wapi? Na je kila Mtanzania anaweza aka access?
Kwani hilo jina analo tumia huko X siyo jina lake sahihi mkuu 'Stuxnet'? Kwa nini uulize ni nani tena?Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.
Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?
Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Naipataje hiyo force namba mkuuRaia wa kawaida tu wala hana force namba
Huyu bwana nlimshusha vyeo alipokua anacopy mpaka nukta story ya ya kijasusi hapa jf afu analipisha watu huko X na telegram.Mzee wa kuunga unga story tu ndio maana watu kumkosoa sana kwenye mabandiko yake akikosea majina ,tarehe,miaka, eneo, hata taarifa za msingi ,nimchumia tumbo tu kama anavyojiita hand to mouth,
Alisema afande yupo msata Kihangaiko baadaye akaja eti yuko Dodoma
USSR
Kwahiyo alikuwa anacopy kama Yericko Nyerere au usikute hiyo acc ya jeiefu ilikuwa yakwake pia.Huyu bwana nlimshusha vyeo alipokua anacopy mpaka nukta story ya ya kijasusi hapa jf afu analipisha watu huko X na telegram.
Jamaa akisimama kupost nae kule anasimama, akiendeleza analipisha watu bukubuku.
Ya Bilionea Msuyu iko kama kama pinned tweet kwenye page yake. Au pokea hii hapa:-Mkuu ntaipata wapi taarifa yake kuhusu billionaire Msuya.
Kwanini wewe usiwe na kitu kama hicho? Kwani unadhani hata wale waandishi kwakubwa kama James Hadley Chase walikuwa wanatunga hadithi zao zote wenyewe?Buyobe wa kawaida sana. Taarifa alizo nazo za kawaida sana mtu yeyote akiamua anazipata. Pia Buyobe ni bingwa wa kunakili makala za watu. Hana tofauti na Yericko Nyerere alivyokopi makala za watu na kuziunganisha pamoja hadi kupata kitabu cha ujasusi wa kidola. Hana upekee wowote. Ni mchumia tumbo.
Asante ndugu, ila ningefurahi kujuwa wewe unaingia kundi gani hapoMoja kati ya vitu vinavyompa huu umaarufu ni kukopi na kusimuliwa, huwezi kupeleleza information's kimyakimya huna utakachoambulia,
Mtaji uwe na mtaji wa watu wa aina hizi
1.Wanaoongea sana,
Hapa huwa zipo stori nyingi za uongo na ukweli,kazi ni kwako kuchuja,kuwianisha,kuunganisha na kuipa taarifa uthibitisho.
2.Wenye hasira na uchungu
Hawa mara nyingi husema vitu real sana,ikiwemo kuikosoa serikali na taasisi za kijamii nyingi ni wasema ukweli sana.
3.Wajasiriamali wadogowadogo
Hapa Kuna taarifa kibao na mastori ya kufa mtu haswa pale baadhi yao wakikaribia kufilisika wanaropoka mambo mengi sana,
4.Watu waliodata (wasiwe machizi kabisa)
Mtu aliyepoteza ajira,familia au Mali nyingi Kuna namna huhitaji Psychologist ili kuwa sawa,
Sasa Hawa watu nao huwa wanaongea vitu adimu ambapo jamii huwachukulia poa lakini ni watu muhimu haswa kama waliwahi kuwa nafasi nyeti (kwangu Hawa ndiyo Kila kitu)kazi ni kwako kuchuja pumba na mchele.
5.Watumishi waliokaa makazini muda mrefu bila kupandishwa madaraja
Hawa wana taarifa nyingi sana.ukikaa nao utawajua.
6.Wastaafu ambao hawakutumia viinua mgongo vyao vizuri,Hawa maisha huwa yanawapelekesha mno ,Sasa kaa nao,wanalaumu Kila dakika
7.Waliopewa Madaraka makubwa kushinda uwezo wao,Hawa mbona easy tu,kazi ni kumualika maeneo ya starehe tu.
Kingine ili uweze kupata info kibao,jifunze vitu vingi hata kama hukuvisomea.kisha Fanya huku ukionesha upo serious navyo
_Chukua daladala lako endesha mwenyewe kutwa nzima,mpumzishe dereva wako
_bustani zako lima kwa mkono wako usipende kuweka vibarua
_Usichague vyakula vya uswazi usiruhusu kinyaa,wewe piga tu
_Salimia yeyote,shusha vioo vya gari salimia,ulizia hata njia unayoifahamu
_Tengeneza mazingira ili uulizwe maswali, zima hata gari lako Kisha mwambie fundi gari haliwaki.halafu kama kimya sikilizia.
_Kunywa wine halafu nenda mtaa mwingine igiza umelewa haina mfano.
Hebu nisiwachoshe siku yenye mbaya hii jumatatu Gani hii haina hata......
Mmoja wa NYOKA wa PAKA angalia morphology, angalia jina lake la Mwisho.Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.
Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?
Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Jamaa ni mjuzi wa mambo sema siku moja Ali chukua Uzi wangu akauandika kule X, nikajibizana naye akaniblockAna account humu JF kama britanicca
Hapana Mkuu mimi ni raia mwema ninayekubali kazi zake. Usiwaze vingineKwani hilo jina analo tumia huko X siyo jina lake sahihi mkuu 'Stuxnet'? Kwa nini uulize ni nani tena?
Hata kama yumo humu JF kwa jina jingine, mbona ni rahisi kumjuwa kama tayari unajuwa mwandiko wake ulivyo?
Wewe yote hayo unayo msifia umeyaona huko X pekee, au kuna mahala kwingine pia ulipo yaona kayaweka?
Lakini nahofia, isije ikawa huu ndio mwanzo wa mwisho wake, maanake mambo ya siku hizi ukianza kuwekewa alama tu... "Unapotea"; na polisi hawana habari nawe tena.