Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Kwa kuwa yumo humu, naamini atapata muda wa kukujibu. Ila suala la bilionea Msuya inaweza kuwa ni ushahidi unaotolewa mahakamani wakati wa kesi.

Ila jamaa ni mahiri sana wa kusimulia kwa maandishi pamoja na kupangilia matukio kwa namna fulani ya kujenga suspense kwa msomaji wake.

Ova
Issue ya Bilionea Msuya inaanzia Alliance One kwa "nyoka" wa madini, inakwenda gerezani Babati alikofungwa mastermind wa mauaji.

Kisha inarudi mtaani kwa muuza vocha na simkad aliyesajili laini ya simu iliyotumika kumleta Msuya kwa muuza madini. Na inatpeleka kwa mmasai mchunga ng'ombe wa KIA aliyeshuhudia risasi zikipigwa
 
Shigongo ni wa kukopi hadithi za kutunga, huyu Buyobe ana narrate matukio halisi.

Unamkosea sana Buyobe
Shigongo alishasema mtu yeyote atakayeweza kufichua anapokopi hadithi zake atapata zawadi nono ya pesa taslimu. Kwanini usiende kuchukua hizo pesa? Buyobe mara ngapi waandishi wamemlalamikia kukopi makala zao?
 
Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Nadhan u unataka kuvu

We unataka mafail yako yaanuliwe yawekwe hadharan huyu mtu achana naye atakufukunyua mpaka utosini
Anamiliki satelite yake inatwa
Sogelea telegram
 
Mzee wa kuunga unga story tu ndio maana watu kumkosoa sana kwenye mabandiko yake akikosea majina ,tarehe,miaka, eneo, hata taarifa za msingi ,nimchumia tumbo tu kama anavyojiita hand to mouth,

Alisema afande yupo msata Kihangaiko baadaye akaja eti yuko Dodoma

USSR
We ulijua kabla kuwa ni afande? And so far afande alikuwa hapo kihangaiko kabla hajapelekwa dodoma
 
Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Self promotion gala
 
Anaetaka taarifa za makonda aje analala wap anamichepuko mingap nk njoen pm kutoa taarifa moja milion 5 sina hela saiv acha niwe chawa
 
Makonda ana michepuko? Kwani anasimamisha? Yule towashi tu
 
Back
Top Bottom