Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Amani iwe juu yenu.
Jamii forum Ina viwanja vingi ambavo wataalam walivigawa kwa kujua wazi Kila mtu atakuwa na interest ya kupata info na mambo mbali mbali ya vitu au maswala anayoyapendelea.
Forum zipo nyingi kidogo mfano;
1.Habari na hoja mchanganyiko.
2.Cerebrity forum.
3. Mahusiano,mapenzi na urafiki.
Kwa upande wangu Mimi Jamvi ambalo lipendi kulitembelea kabisa Ni "Jukwaa la siasa".
Wewe je? Ni jukwaa gani hulipendi na hauna interest nalo kabisa.
KING.