Vanga uvunguni
Member
- May 6, 2017
- 45
- 61
Celebrity forum......huwa naona kama ni kufuatilia umbea umbea hivi
Naona haitofautiania na magazeti ya Udaku
Naona haitofautiania na magazeti ya Udaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ukijihisi mkubwa ni ruksa kuomba usajilihaaaa hilo lina masharti eeeh
Ndo maana linaitwa la wakubwa aisee, hvi ni umri gani unatakiwa uwe nao? usikute mie nimepita huo muda
teh teh
bado aiseee, acha nisubiri subiri kidogoYaani wewe ukijihisi mkubwa ni ruksa kuomba usajili
Nani kakudokeza my dear, mie kusikia tuu laitwa la wakubwa tena limefichwa wala sina hamu nalo kabisa na sitaki kujua kilichomobado aiseee, acha nisubiri subiri kidogo
nimeshadokezwa vilivyomo hata sitaki kusikia tena
Ilikuwa zamani nowadays ni pa kawaida sanaMy Best Forum Jf is
jf Intelligence..
Ukikua utafika tuhivi mbona sijawahi ona mahali pameandikwa jukwa la wakubwa? how do people go about it
nataka kujua
Lazima uwe na cheti cha kuzaliwaJukwaa la wakubwa ndio Makapuku Forum mkuu.......
hayaUkikua utafika tu
hutaki kusikia lipi? kuwa open bhanaSitaki hata kuliskia kwa kweli
Na huwez kuwa memmber wa jukwaa hilo bila kuomba kama upo huko basi ulishawahi kupitiaKooooteeee nitazurura lakini sio jukwaa la wakubwa kama wenyewe wanavyoliita!!!
Sijawahi hata kuliona, nalisikia tuu kuona venye watu wanaelekezana kufika huko!! Sijawahi waza hata kuingia humoNa huwez kuwa memmber wa jukwaa hilo bila kuomba kama upo huko basi ulishawahi kupitia