Forum gani humu hujawai kutamani kuitembelea hata kidogo?

Forum gani humu hujawai kutamani kuitembelea hata kidogo?

Yaan mie kuna majukwaa sijawah kanyaga kabisa ,,mi Mmu kwa GuDume ,celebrities forum,siasan hua inatokea tu
 
Kuna yale great thinker , sijuii politics palace,,nayakaribisha yanitembelee
 
Mimi jukwaa ninalolichukia ni chit-chat.Hilo jukwaa silipendi na wala sitaki kulisikia kabisa.
 
Back
Top Bottom