Kweli kabisacelebriti. ni mshamba kabisa wa mambo hayo
kwa nini mkuu. mimi wa juzi tu sema itikadi hizo zilipitia mbali tangu mdogo.Hahahahaaa ninamashaka na umri Wako mkuu
hili nililomoAmani iwe juu yenu.
Jamii forum Ina viwanja vingi ambavo wataalam walivigawa kwa kujua wazi Kila mtu atakuwa na interest ya kupata info na mambo mbali mbali ya vitu au maswala anayoyapendelea.
Forum zipo nyingi kidogo mfano;
1.Habari na hoja mchanganyiko.
2.Cerebrity forum.
3. Mahusiano,mapenzi na urafiki.
Kwa upande wangu Mimi Jamvi ambalo lipendi kulitembelea kabisa Ni "Jukwaa la siasa".
Wewe je? Ni jukwaa gani hulipendi na hauna interest nalo kabisa.
KING.
east africa na yale mengine ya english big NO!Amani iwe juu yenu.