Forum gani humu hujawai kutamani kuitembelea hata kidogo?

hili jukwaa sio la kisport sport aisee
sitaki hata, mie jukwaa langu kubwa na MMU na nina amani na furaha
Napata majibu ya maswali yangu yote, hao wakubwa wabaki tu huko
Umempeleka wapi Stunter ?
Jukwaa la wakubwa tuachie sie
 
kuna project kapewa kazini nakuambia hata muda na mimi siku hizi sio kama zamani
najikuta nanyamaza tu maana nilishapenda
ila nimemuomba aje bhana watu wanammisi ameahidi kuja soon
Msalimie tu hakuna namna mwambie akuje
 
Ile forum wanayoongea kizungu kila muda wote, huwa naipita na speed ya 4G kama vile sina beak.

Sina interest nako kabisa japo naweza kusoma, kuelewa na kuandika.
 
biashara, uchumi na ujasiriamali mengine kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…