Forum gani humu hujawai kutamani kuitembelea hata kidogo?

bado aiseee, acha nisubiri subiri kidogo
nimeshadokezwa vilivyomo hata sitaki kusikia tena
Nani kakudokeza my dear, mie kusikia tuu laitwa la wakubwa tena limefichwa wala sina hamu nalo kabisa na sitaki kujua kilichomo
 
Premium members ni forum pekee ambayo sijawahi itembelea
 
Mi natembela yote... Haswa nikiwa na apps ya jamii forum kwenye kipengere cha New pale napata kila aina ya mambo... Siasa, mapenzi kila kitu nipo sibagui na sichagui ndio maana ata kwenye magroup ya whatsapp nakuaga wa mwisho kuleft..
 
Natembelea majukwaa yote isipokuwa Jukwaa la Wakubwa na Jukwaa la Platinum member na Jukwaa la Dini ambayo yanahitaji access kutoka Mods.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…