[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]hutaki kusikia lipi? kuwa open bhana
la wakubwa ama MMU my favourite?
Una magroup mangapi ya WhatsApp mkuuMi natembela yote... Haswa nikiwa na apps ya jamii forum kwenye kipengere cha New pale napata kila aina ya mambo... Siasa, mapenzi kila kitu nipo sibagui na sichagui ndio maana ata kwenye magroup ya whatsapp nakuaga wa mwisho kuleft..
Hivi ipo humu humu?
Kwenda hukoHahahaaa Ni MMU
Aki vile naapia Mkuu, sijawahi na wala sintokaaa niliwazeHahahaa kuwa muwazi tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwenda huko