Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote?, Lipi ambalo hujawahi kuingia kabisa?
 
Majukwaa ya english, jukwaa la mapishi, celebrities forum na jukwaa la kimataifa a.k.a international forum
 
Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote?, Lipi ambalo hujawahi kuingia kabisa?
forum ya love and relationship
 
Mimi nikiingia JF hua naingia Trending,

Sometimes nasoma nyuzi na kuchangia bila hata kujua nipo jukwaa gani.
Jirani upo km mimi aisee.!!
Ila ss hivi nataka nianze kupitia jukwaa la ufugaji kuna project nataka kuianza
 
Majukwaa yote huwa natembelea ila siweki comment nasona page ya kwanza tu nasepa!

MMU Wanatisha.
 
Jirani upo km mimi aisee.!!
Ila ss hivi nataka nianze kupitia jukwaa la ufugaji kuna project nataka kuianza
Jirani usininyime kazi ya kulinda hiyo mifugo,

Sema Mod's wa JF siku hizi wananipiga ban sana,nataka niwafungulie uzi niwape za uso.
 
Jirani usininyime kazi ya kulinda hiyo mifugo,

Seme Mods wa JF siku hizi wananipiga ban sana,nataka niwafungulie uzi niwape za uso.
Umezidi ukorofi jirani punguza 😂😂😂

Hii ya ufugaji ni kitu napenda nilikuwa nakitafutia muda muafaka, kuna sehemu huko kwa wazaramo nataka nianze.!!
 
Back
Top Bottom