Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote?, Lipi ambalo hujawahi kuingia kabisa?