Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Lile sijui linaitwa Celebrities wadau wanajadili hadi kiatu cha mtu.
Lingine jukwaa la mapishi
forum ya love and relationshipAmin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote?, Lipi ambalo hujawahi kuingia kabisa?
Baada ya kulisema hilo jukwaa imebidi nikaangalieLile sijui linaitwa Celebrities wadau wanajadili hadi kiatu cha mtu.
Lingine jukwaa la mapishi
Nilikutana na uzi wa huko kwenye trendingSasa umejuaje kama wanajadili kiatu cha mtu kama hujawahi kuingia huko?ππ
Jirani upo km mimi aisee.!!Mimi nikiingia JF hua naingia Trending,
Sometimes nasoma nyuzi na kuchangia bila hata kujua nipo jukwaa gani.
Jirani usininyime kazi ya kulinda hiyo mifugo,Jirani upo km mimi aisee.!!
Ila ss hivi nataka nianze kupitia jukwaa la ufugaji kuna project nataka kuianza
Umezidi ukorofi jirani punguza πππJirani usininyime kazi ya kulinda hiyo mifugo,
Seme Mods wa JF siku hizi wananipiga ban sana,nataka niwafungulie uzi niwape za uso.
Utanpa kibarua Mshua mpya in TownJirani upo km mimi aisee.!!
Ila ss hivi nataka nianze kupitia jukwaa la ufugaji kuna project nataka kuianza