Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Good thing vipi na Hana Hisa inasemekanaTetesi nikuwa
Kuna twitt za 2022 ambazo zinasemekana ni za dada yake kuwa alikiwa ana mtomasa tomasa wakiwa wadog ye altman akiwa na 13 na mdog wake wa kike akiwa na 4 .
Sasa wanahisa wake wansema hakuwambia ukweli kama alikiwa na kit kama hivho ndo imebid achie ngaz.
GOOD NEWS
NI kuwa hisa zake haziguswi na ye kuondolewa kweny uongiz wa kampuni ila inauma saaan mtoto wak anachukuliwa na huna cha kufanya zaid ya kwenda THERAPY.