Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Unaujuzi Gani lofa wewe wa kujilinganisha na Sam Altaman! Yani umeajiriwa sehemu huko Halmashauri unakuja kuropoka hapa eti na yeye kaajiriwa!Ingekuwa bongo, ukifukuzwa kazi, kuna kenge wanakuambia kwanini usiende kujiajiri tu, au kuna wale mbulu kenge wanaoumiza vichwa vijana wetu walimaliza vyuo na shahada zao za uhandisi, IT, computa, kwa maneno, nendeni mjiajiri msisubili kuajiliwa.
Sasa huko majuu,mbobezi wa IT kafukuzwa kazi kampuni, Moja, kaenda kuajiliwa nyingine, sasa jiulize kwanini asijiajiri, maana kama mpunga anao wa kutosha!
Hili liwe somo,kwa hapa bongo, kwamba mkiona sie na maujuzi yetu tunaajiliwa, sio kwamba hatuwezi kujiajili, ni kwamba sokoni kuna fulsa zinazohitaji watu wenye ujuzi na uzoefu kama wetu, kiasi kwamba hatuna mshindani!
Mtu alikuwa Moja ya waanzilishi wa Open AI unakuja kusema alikuwa kaajiriwa!
Tangu lini mtu alieajiriwa akawa na Hisa!
Wewe hapo halmashauri ya urambo una Hisa ?