Good thing vipi na Hana Hisa inasemekanaTetesi nikuwa
Kuna twitt za 2022 ambazo zinasemekana ni za dada yake kuwa alikiwa ana mtomasa tomasa wakiwa wadog ye altman akiwa na 13 na mdog wake wa kike akiwa na 4 .
Sasa wanahisa wake wansema hakuwambia ukweli kama alikiwa na kit kama hivho ndo imebid achie ngaz.
GOOD NEWS
NI kuwa hisa zake haziguswi na ye kuondolewa kweny uongiz wa kampuni ila inauma saaan mtoto wak anachukuliwa na huna cha kufanya zaid ya kwenda THERAPY.
Wanaoanyisha makampuni mara nyingi wanakuwa hawana uchungu na hela ya wawekezaji. Hata Steve alivyorudi aliiikuza apple kwa sababu aliwekeza hela yake mwenyewe kujiongezea hisa na kujipa mamlaka. Baada ya hapo kujua uchungu wa hela ndo apple ikawa kampuni kubwa. Ni sawa na kufungua biashara kwa hela yako kwa asilimia mia moja au kuweka nyumba collateral bank na kuitumia kuiendeleza biashara. Kuna njia moja itakufanya uwe makini na maamuzi ya kifedha kuliko nyingine.Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe
Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production
Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
ExactlyNadhani hisa zake kama alikuwa nazo bado zipo intact...ila tu ameondolewa kwenye management kama Steve Jobs wa Apple alipofukuzwa na kampuni aliyoiasisi mwenyewe yaani Apple.
Altman sio Founder kwa uelewa wangu bali ni CEO wa muda toka 2019, ila Alivyofukuzwa huyu Jamaa Founder nae Kajiuzulu.Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe
Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production
Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
Kabisa, nimejaribu kumwambia kistaarabuUmetumia lugha laini kifupi kama atakuwa anajua kuandika ajifunzi kupitia kabla ya kupost (proofreading) vinginevyo taarifa haieleweki kabisa
So huyo jamaa ali Co-found na naniAltman sio Founder kwa uelewa wangu bali ni CEO wa muda toka 2019, ila Alivyofukuzwa huyu Jamaa Founder nae Kajiuzulu.
View: https://twitter.com/tomwarren/status/1725668952527753473
Kuanzisha na kuendesha ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukaanzisha hata chama cha siasa wakaja kuendesha wengine.Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe
Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production
Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
Kingereza nacho ni janga mkuu, Altman na Musk ni Board members wa Mwanzo kabisa walikuwepo kwenye uanzishaji wa Kampuni ila hawakuwa watengenezaji wa Bidhaa wao na baadhi ya watu wengine Wali donate hela, Pengine ndio maana jamaa anadai mpunga wake. So naweza kuwa sipo sahihi juu sijajua Founder kama inatumika kwenye donation pia.So huyo jamaa ali Co-found na nani
Ameajiriwa na MicrosoftThis Sam Altman timeline:
-OpenAi board fires Sam Altman
-The public/investor goes nuts
-Microsoft is furious and steps in
-OpenAi employees protest and promise to resign.
-Sam Altman, OpenAI board negotiate his comeback
-The ENTIRE board offers their resignation
-The ENTIRE board waffles on their decision and stays in power.
-Sam Altman gives OpenAi board a Sunday, 8:00 pm est deadline
-OpenAi interim CEO offers Altman a temporary position
-To be continued
============
Update
Sama amerudishwa kuwa CEO baada ya mazugumzo
Bora aseeThis Sam Altman timeline:

Quick update:
Sama na Greg wamerudi OpenAI, Ilya ameondoka kwenye board ya OAI kama chairman
Adam D'Angelo amebaki kwenye board za chini chini zinasema huyu jamaa nio chanzo cha yote, alikua ana-push sama atolewe
______
Employee wa openAI walitishia kuondoka kwa sababu kwenye contracts zao sama halihahidi kuwa atawapa share za openAI zenye thamani kati ya 10-50M USD, Kama sama angeondoka basi share zote zingekua worthless.
Chief AI engineers & researcher wote walio kuwa wamesha resign wamerudi.
-----
AI/ML/DL model zina kua build na mathematical model, kama umesoma statistics, mathematics for economics au econometrics una nafasi kubwa ya kuwa AI researcher maana model zinafanana sana, ukiongeza ujizi wa programming hasa PY, R na C++ unaweza kua na nafasi kwenye fild ya AI
Ingekuwa bongo, ukifukuzwa kazi, kuna kenge wanakuambia kwanini usiende kujiajiri tu, au kuna wale mbulu kenge wanaoumiza vichwa vijana wetu walimaliza vyuo na shahada zao za uhandisi, IT, computa, kwa maneno, nendeni mjiajiri msisubili kuajiliwa.Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe
Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production
Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
==============
Quick update:
Sama na Greg wamerudi OpenAI, Ilya ameondoka kwenye board ya OAI kama chairman
Adam D'Angelo amebaki kwenye board za chini chini zinasema huyu jamaa nio chanzo cha yote, alikua ana-push sama atolewe
______
Employee wa openAI walitishia kuondoka kwa sababu kwenye contracts zao sama halihahidi kuwa atawapa share za openAI zenye thamani kati ya 10-50M USD, Kama sama angeondoka basi share zote zingekua worthless.
Chief AI engineers & researcher wote walio kuwa wamesha resign wamerudi.
-----
AI/ML/DL model zina kua build na mathematical model, kama umesoma statistics, mathematics for economics au econometrics una nafasi kubwa ya kuwa AI researcher maana model zinafanana sana, ukiongeza ujizi wa programming hasa PY, R na C++ unaweza kua na nafasi kwenye fild ya AI
Sama amejiajiri kwa kuanzisha OpenAi kilichotokea ni mayokeo ya EXIT PLAN yake alovyoiwekaIngekuwa bongo, ukifukuzwa kazi, kuna kenge wanakuambia kwanini usiende kujiajiri tu, au kuna wale mbulu kenge wanaoumiza vichwa vijana wetu walimaliza vyuo na shahada zao za uhandisi, IT, computa, kwa maneno, nendeni mjiajiri msisubili kuajiliwa.
Sasa huko majuu,mbobezi wa IT kafukuzwa kazi kampuni, Moja, kaenda kuajiliwa nyingine, sasa jiulize kwanini asijiajiri, maana kama mpunga anao wa kutosha!
Hili liwe somo,kwa hapa bongo, kwamba mkiona sie na maujuzi yetu tunaajiliwa, sio kwamba hatuwezi kujiajili, ni kwamba sokoni kuna fulsa zinazohitaji watu wenye ujuzi na uzoefu kama wetu, kiasi kwamba hatuna mshindani!
Ni mmoja wa co-founder wa OAI, sama amejiajiri.Ingekuwa bongo, ukifukuzwa kazi, kuna kenge wanakuambia kwanini usiende kujiajiri tu, au kuna wale mbulu kenge wanaoumiza vichwa vijana wetu walimaliza vyuo na shahada zao za uhandisi, IT, computa, kwa maneno, nendeni mjiajiri msisubili kuajiliwa.
Sasa huko majuu,mbobezi wa IT kafukuzwa kazi kampuni, Moja, kaenda kuajiliwa nyingine, sasa jiulize kwanini asijiajiri, maana kama mpunga anao wa kutosha!
Hili liwe somo,kwa hapa bongo, kwamba mkiona sie na maujuzi yetu tunaajiliwa, sio kwamba hatuwezi kujiajili, ni kwamba sokoni kuna fulsa zinazohitaji watu wenye ujuzi na uzoefu kama wetu, kiasi kwamba hatuna mshindani!
Naunga mkono hojaSama amejiajiri kwa kuanzisha OpenAi kilichotokea ni mayokeo ya EXIT PLAN yake alovyoiweka