Four million people in middle income Kenya are to die of hunger

Kwahiyo wewe kama huna hela na unategemea kwenda kukopa unajihesabu una pesa?, nani anayehesabika hana pesa?, unataka kuchekesha watu waliolala wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mimi Mahali nipo ni two hours behind East african time. Wewe ndio unastahili kulala ni usiku sana huko. Lakini point yangu ni simple, kama wewe umekopa pesa na ukaamua hutanunua chakula nayo bali utalipa rent nayo. Shida iko wapi? Chakula mtu atajipanga tu. Lakini ni lazima Kenya tumalize hii mambo ya njaa once and for all. Around 3 million people ndio wako njaa in a country of 47 million na wewe uko hapa usiku na mchana ukisema wakenya wote wanakufa njaa.
 
Kwahiyo wewe kama huna hela na unategemea kwenda kukopa unajihesabu una pesa?, nani anayehesabika hana pesa?, unataka kuchekesha watu waliolala wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jamaa unapenda nchi yako sana. Hapo ninakupa pongezi. Lakini Kenya inacheza ligi tofauti pamoja na mashida hayo yote.
 
Kwahiyo wewe kama huna hela na unategemea kwenda kukopa unajihesabu una pesa?, nani anayehesabika hana pesa?, unataka kuchekesha watu waliolala wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ati ukope Kwa ajili ya SGR halafu utumie kulisha wenye njaa! Sijawahi ona! Unajua mikopo huwa na terms!?
 
Nyinyi ni dumping ground ya SADC si hata Sukari mnaingiza 300,000 tonnes from hiyo block yenyu na vile mnajidai wakulima waliobobea tena tax free? You are a poor malnourished people whose major products are cassavas(poor man's starch filled bread)
UN agencies are failing severely malnourished children in Tanzania
https://www.twaweza.org/uploads/files/Fighting Malnutrition English(1).PDF
 
Huyo bwege wao si afungue mipaka tuwapelekee mahindi huku yanaoza tu maghalani
Pelekeni Kule SADC ama supply outstrips demand? Zambia wana Mahindi yao vile vile SA, Malawi na usisahau Botswana hawawezi nunua toka kwenu SA ikiwa, you are a useless foreigner to them. Ndio sababu Tz ni a poor country with lots of food with no one to sell to and with viwonders to process food products.
 
Tanzania Now Sole Beans Producer, Feeding 10 African Countries
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Tanzania Now Sole Beans Producer, Feeding 10 African Countries
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Nina swali kwako professor. Nauliza kwa heshima kubwa. Kama ingekuwa wewe ndio una uwezo wa kupanga bajeti ya Kenya, ungefanya nini ili kuimaliza shida ya njaa hapa Kenya chini ya miaka mitatu?Kumbuka njaa huwa sana sana kaskazini mwa Kenya kwa sababu ni jangwa. Ideas zako ni muhimu kwa huu mjadala, kama jirani mwema
 
Very simple, kuachana na miradi mikubwa isiyo na umuhimu kwa sasa na kuwekeza nguvu katika miradi mikubwa ya umwagiliaji kama ule wa Galana.

Kenya needs only two big irrigation projects of the size of Gallana to be major producers of food in this region, those two projects hardly will cost Kenya $1.5B.

Why Lamu port now?, Mombasa port with current major expansion projects going on, can save the purose for the next 8 to 10yrs. Why Nairobi Mombasa high way, SGR and the current road with minor renovations are enough. Why spending too much on military hardware just to fight alshaabab who are using AK47?.

Why Nairobi roads are given too much attention while people of Nairobi have no water to drink and Turkana are dying of hunger?.

Sio lazima nchi nzima walime chakula, hata huku Tanzania sio kweli kwamba mikoa yote inalima chakula, kuna mikoa ni wavuvi na wengine wafugaji kama Turkana, ila wakulima wanazalisha chakula kingi cha kutosheleza nchi nzima na ziada tunauza nje ya nchi, wafugaji wanatosheleza mahitaji ya nchi nzima na ziada tunauza nje ya nchi, ndiyo maana ya specialization.
 
Well I can just answer that all those projects are under way. Galana is in progress, the northern collector tunnels will supply water to Nairobi. The northern Kenya is affected because they are Pastoralists and rains have failed in three consecutive seasons. Huezi panda nyasi kwa irrigation. And finally TZ should be taking this opportunity to sell maize and empower farmers. There is a ready market but all you see in this forum is how you cannot sell. SMH.
 
The lamu project came even before the current drought so... The msa highway? You have not see the jams when a mishap happens on that road.
 
Nadhani aliyeuliza swali alikuwa na maana yake, ninahisi amenielewa vizuri sana. Mimi sijauliza swali lolote kwahiyo sikutegemea kujibiwa, lakini kama maelezo yako yangekuwa yanaendana na mahitaji ya muuliza swali la msingi ningeyabeba, lakini inaonekana upo nje kabisa ya mjadala huu, jaribu kurudi katika swali la Tony254, kisha uje kivyengine, kumbuka kwamba, njaa na upungufu wa chakula Kenya ni miaka yote, tangu Kenya ipate Uhuru wake, hiyo draught unayosema wewe imekuja tu kuongezea makali, Kenya haijawahi kujitosheleza kwa chakula.
 
Ubandance of food needs to be complemented by good road transport otherwise food will go to waste along the way. Hizi point zako ni mingi but lack depth of facts . If you are the most reasonable Tanzanian in JF,I pity your vijiweni brothers. Education is the Key .
 
Hio ni jibu nzuri sana na inaonyesha kwamba kama ungekuwa kiongozi, ungeleta mabadiliko mema. Inaonyesha pia wewe ni mtu mwenye akili. Nakubaliana na wewe kwa kila kitu umesema. Sasa, sisi waafrika tuna shida sana maana tunajua jambo tunalostahili kulifanya lakini huwa hatulifanyi. Usijali, ideas tunazo lakini, nchi nyingi zitazidi kuwa masikini kwa sababu viongozi hawajali masilahi ya wananchi wao. Naamini hii inaaply kwa nchi karibia zote za Afrika.
 
Kwahiyo tuendelee kupokea food donation kutoka nchi zenye jangwa nchi nzima, hadi yesu atakaporudi
Kikuyus MOCK Uhuru for Receiving Food Donations from Desert Country Emirates Yet Jubilee STOLE Money for Galana Irrigation Project
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…