Nyani ana kisirani Kumbe inauma. Alipokuwa anashabikia maovu ya Jiwe alidhani raha😅😅Nyani ngabu unajishushaaaa mnooo na comments zako ni bora usiandike choxhote pita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani ana kisirani Kumbe inauma. Alipokuwa anashabikia maovu ya Jiwe alidhani raha😅😅Nyani ngabu unajishushaaaa mnooo na comments zako ni bora usiandike choxhote pita tu
Maombi yapi?? Maana kama ni maombi tunaomba miaka yote.Daaah, aiseeee, hv mtu unaongea utadhani unaishi hapa Duniani kwa dhamana yako binafsi, hv kweli ww kwa akili yako unadhani upo hapo kwa uwezo wako ama Mungu!!, Hv kweli maombi hayaja tusaidia Tanzania,hv kweli unaweza kulinganisha Tanzania na nchi zingine ktk wakati huu wa Kanga la Korona?? Tufanyeni mizaha mingi lakini embu linapi fika suala linalo muhusisha MUNGU tuwekeni Bangi Pembeni jamani,mtu unaongea Kama unaharisha fulani hivi
Pole, tunasherehekea maisha ya Padri Privatus Kalugendo. Mtanzania aliyekuwa na tafakuri na kutushawishi sote tuwe watu wa kutafakari na kuhoji masuala mbalimbali. Alikuwa zawadi kwa Watanzania na Ulimwengu. Tangulia Privatus tutaonana baadaye.Huyu mhaya ni mjuaji balaa.
Ujuaji huu ndio ulimgharim akafukuzwa upadre.alikuwa anamiliki kimwana (nurse) wakt huohuo anatumikia upadri tena waziwazi.kuonywa akaleta uanaharakati ndani ya ukatoliki
Nakumbukaga enzi hizo avatar picha yako ya Dr slaa kavaa bonge la suruali ya kitambaa kakaa. Irudishe basi iyo avatar picha mkuuComment ya hovyo kabisa hii
Ndiyo.Hali ni mbaya sana. Si mdogo wake alifariki juzi kati hapa?
Mkaldayo bana. Tuwekee ushahidi la sivyo ni fiksi tu na porojo.Nimekumbuka gazeti la Rai la zamani. Nilikuwa silikosi kila Alhamisi.
Rip
Mkuu Ulipoteaga wapi yani vita ya karibuni ya taifa teule na Hamas mchango wako hata mmoja haukonekana kabisa International forum na siyo kawaida yako. Tukazan 3rd wave imekupitiaHii account haiko under Nyani control kitambo,Nyani original aliishiaga kwenye mifuko ya salfet,long time ago...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kikombe kile kile walichotupimiaHuyu padri wenu yuko wapi sasa hivi? Kwenye li friji au li friza?
La ...Asili kabisa ...RAI.Duh!!!.RIP PrivatusSisi wasomaji wa Gazeti la Rai Nguvu ya HOJA la Asili kabisa tutamkumbuka sana kwa makala zake!
Bwana ametwaa zao lake lililobora. Jina lake Lihimidiwe.
nikweli huyuhuyuMmh huyu sio yule aliyetuaga kwenye ile mada? Ana ID ya kike?
.....ndefu zisizo chosha...Namba 3 hiyo..Rwanda wamecancel harusi zote. Makala ataja watu wavae barakoa. Serikali yajiwinda na maonesho ya 77. Tutafika tu tunapotaka kufika. R.I.P Karugendo japo makala zako zilikuwa ndefu.
Kwa huyu fr.lazima ni...😭😭😭😭😭😭😭Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Ficha upumbavu wako. Hakuna mahali amesema yuko hapa kwa uwezo wake. Na watu hawapingi maombi. watu wanapinga maombi ya kiwendawazimu. Watu wanapinga maombi ya kumjaribu Mungu. Watu wanahoji maombi huku ukipuuza korona. Huwezi kufanya maombi halafu ukapanda juu ya mti mrefu kabisa ukajitupa chini ukitegemea yale maombi uliyoomba.Daaah, aiseeee, hv mtu unaongea utadhani unaishi hapa Duniani kwa dhamana yako binafsi, hv kweli ww kwa akili yako unadhani upo hapo kwa uwezo wako ama Mungu!!, Hv kweli maombi hayaja tusaidia Tanzania,hv kweli unaweza kulinganisha Tanzania na nchi zingine ktk wakati huu wa Kanga la Korona?? Tufanyeni mizaha mingi lakini embu linapi fika suala linalo muhusisha MUNGU tuwekeni Bangi Pembeni jamani,mtu unaongea Kama unaharisha fulani hivi
Siyo bure .. Nyani...ipo siku utatuambia kwa kina hasira dhidi ya aina ya mtu kama marehemu.Acha tuomboleze kwanza.Nilikuwa nawaza kuwa kumbe hata wao nao huwa wanakufa na kuoza na kuwa mlo wa funza!
He is dead [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Go bury him now.
Funza wanaenda kufaidi huko udongoni.
Nenda twitter,siku hizi nabonga na kina Netanyahu,Naftal ,Gantz,Biden..Mkuu Ulipoteaga wapi yani vita ya karibuni ya taifa teule na Hamas mchango wako hata mmoja haukonekana kabisa International forum na siyo kawaida yako. Tukazan 3rd wave imekupitia
Upumbavu n pale hapo ulipo umekaa unaharisha hata barakoa hujavaa wala mikono hunawi halafu unajidai kuwa unaijua korona, upumbavu nipale unapo enda kariakoo tena unebananishwa wenye mwendo Kasi halafu unajidai unaijua korona, upumbavu ni pale unapo hitaji lockdown wakati hapo mfukoni umekunjia ma toilet paper tu, sijui hiyo lock down unayo iita utakula kinyesi Chako?tahadhari gani uliyo nayo ww kuliko Ulaya na bado korona inawamaliza?nilisha sema peleka Bangi za Ngarenaro huko.Ficha upumbavu wako. Hakuna mahali amesema yuko hapa kwa uwezo wake. Na watu hawapingi maombi. watu wanapinga maombi ya kiwendawazimu. Watu wanapinga maombi ya kumjaribu Mungu. Watu wanahoji maombi huku ukipuuza korona. Huwezi kufanya maombi halafu ukapanda juu ya mti mrefu kabisa ukajitupa chini ukitegemea yale maombi uliyoomba.
Ina maana kwenye zile maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye ile mifuko ya Sulphate na ya Nyani ilikwepo?? Mbona alikuwa timu JPM kitambo, sidhani angeweza kufanywa vile.Hii account haiko under Nyani control kitambo,Nyani original aliishiaga kwenye mifuko ya salfet,long time ago...