Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Amen Mkuu 🙏🙏🙏Matendo mema aliyoushi yatamtetea. Mungu ailaze mahali pema peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen Mkuu 🙏🙏🙏Matendo mema aliyoushi yatamtetea. Mungu ailaze mahali pema peponi
Aaminiye na kubatizwa ataokoka, "Kama alimuamini YESU kuwa ni Bwana na Mwokozi, na kama "alikuwa ameokoka" na "kama aliomba" sali kwa jina la YESu na si jina lingine maana jina la YEsu ndio tumepewa na kwa hilo tunamfikia Mungu na Si sijui mama gani huko , basi Pepo ni zake.Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Yeye wakati anawaua kina Saanane alijua atadumu milele?Walijua Magufuli Ndio Atakufa Tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Anajulikana sana, ni sawa na kuuliza picha ya Mfaume Kawawa.Mmejitahidi
sijaona anaeulizia PICHA hahaha.....
RIP FR
Kama vipi soma za mwenzio pita tuPamoja na upadri wake anaenda kuoza na kuliwa na mchwa, nyungunyungu, sisimizi, na maduduwasha 😂😂😂.
Mlidhani nyie hamtokufa eeh?
Kwaheri karugendo,rafiki yanguBaba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
COVID-19 inapenda sana binadamu wenye kauli kama hiviVifo vingine havijasimama mkuu. Acheni kupanikisha watu.
Inamaana hivi Sasa kila kifo ni korona??
3rd seasson imeanza na mtumishi wa Mungu!! RIP father.Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
[emoji23][emoji23][emoji108]Uzuri ni kwamba kayafa ndio alitangulia[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati naisoma leo, nilikuwa na wazo kama lako. Ila jina lilinitatiza.Amefia hospitali gani father, isije ikawa ni yeye aliendika jana hii post ya kutuaga.
Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena
Naam, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa kwenye ukurasa wa Siasa. Nimetoa mchango wangu kwa umoja huu kupitia ukurasa huu. Nimerekebisha baadhi ya mambo kutokana na hoja zangu na niseme tu nimekuwa nikifarijika sana pale ninaposhauri au kutoa hoja ikaleta positive impact kwenye jamii...www.jamiiforums.com
Hii account haiko under Nyani control kitambo,Nyani original aliishiaga kwenye mifuko ya salfet,long time ago...Ulikuwa unawaza nini kuandika haya Nyani??
Any ways, RIP father 😭😭
Daaah, aiseeee, hv mtu unaongea utadhani unaishi hapa Duniani kwa dhamana yako binafsi, hv kweli ww kwa akili yako unadhani upo hapo kwa uwezo wako ama Mungu!!, Hv kweli maombi hayaja tusaidia Tanzania,hv kweli unaweza kulinganisha Tanzania na nchi zingine ktk wakati huu wa Kanga la Korona?? Tufanyeni mizaha mingi lakini embu linapi fika suala linalo muhusisha MUNGU tuwekeni Bangi Pembeni jamani,mtu unaongea Kama unaharisha fulani hiviMLIDANGANYWA MAOMBI YA SIKU 3 YAMEMALIZA CORONA.
Mambo ya Kinjekitile Ngwale hayooo!
Hakika,sema huyu padri nilikuwa simwelewi kabisaWimbi la 3 linatest mitambo!