TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Aaminiye na kubatizwa ataokoka, "Kama alimuamini YESU kuwa ni Bwana na Mwokozi, na kama "alikuwa ameokoka" na "kama aliomba" sali kwa jina la YESu na si jina lingine maana jina la YEsu ndio tumepewa na kwa hilo tunamfikia Mungu na Si sijui mama gani huko , basi Pepo ni zake.
 
Pneumonia imerudi tena.

Ngoja tuone kama kutakuwa na lockdown.

Alikuwa anatoa tahadhari bila kuchukua tahadhari.
 
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
Kwaheri karugendo,rafiki yangu
 
Dah pole kw familia, Mzee alipambania sana utu wake, kile anachokiamini mpaka kanisa likamruhusu kuoa.

Tutakukosa tutakosa hoja zako fikirishi
 
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
3rd seasson imeanza na mtumishi wa Mungu!! RIP father.
 
Amefia hospitali gani father, isije ikawa ni yeye aliendika jana hii post ya kutuaga.
Wakati naisoma leo, nilikuwa na wazo kama lako. Ila jina lilinitatiza.
 
MLIDANGANYWA MAOMBI YA SIKU 3 YAMEMALIZA CORONA.

Mambo ya Kinjekitile Ngwale hayooo!
Daaah, aiseeee, hv mtu unaongea utadhani unaishi hapa Duniani kwa dhamana yako binafsi, hv kweli ww kwa akili yako unadhani upo hapo kwa uwezo wako ama Mungu!!, Hv kweli maombi hayaja tusaidia Tanzania,hv kweli unaweza kulinganisha Tanzania na nchi zingine ktk wakati huu wa Kanga la Korona?? Tufanyeni mizaha mingi lakini embu linapi fika suala linalo muhusisha MUNGU tuwekeni Bangi Pembeni jamani,mtu unaongea Kama unaharisha fulani hivi
 
Back
Top Bottom