TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

Mbona kwa msiba wa Magufuli mlitoa dhihaka na hamkupewa ban. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Muombeeni Lissu maisha marefu aisee la sivyo mtapasuka siku hio
MOD: Dhihaka ya NYANI NGABU kwenye msiba wa Padri Privatus Karugendo imetufadhaisha wengi. Kwa mujibu wa taratibu za jf anastahili BAN ili tuomboleze kwa utulivu.
 
Mkoani huko mkuu,japo nilimkoseaga sana Padre,ila naamini alishanisamehe
Amina,mimi nimekuwa nae jirani huku tabata,pia amekuwa karibu na familia yetu kule karagwe mpaka nikadhani ni mnyambo
 
Amina,mimi nimekuwa nae jirani huku tabata,pia amekuwa karibu na familia yetu kule karagwe mpaka nikadhani ni mnyambo
Sijui Kabila lake ila najua ni mtu wa Kagera,alikua bado na anaishi na yule mke wake Dr?
 
Sijui Kabila lake ila najua ni mtu wa Kagera,alikua bado na anaishi na yule mke wake Dr?
Bado anaishi nae ndio wakifunga ndoa kabisa ,yule ni mhaya ila alikuwa jimbo la Rulenge-ngara
 
Bado anaishi nae ndio wakifunga ndoa kabisa ,yule ni mhaya ila alikuwa jimbo la Rulenge-ngara
Nampa pole sana Dr Rose kwani walianza mahusiano yule binti akiwa mdogo sana mpaka pale mtaani tulikua twashangaa sana,mara ya mwisho nilimuona Dr Temeke Hosp ila sikupata nafasi ya kuongea
 
Nampa pole sana Dr Rose kwani walianza mahusiano yule binti akiwa mdogo sana mpaka pale mtaani tulikua twashangaa sana,mara ya mwisho nilimuona Dr Temeke Hosp ila sikupata nafasi ya kuongea
Bado yuko Temeke,Mungu ampe nguvu
 
MOD: Naendelea kukushangaa na kujiuliza huu kitamaduni wa JF wa kudharau maiti mpaka lini. Piga BAN wanaokiuka utamaduni huu tuomboleze salama.
 
1624738110152.jpeg

Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.

#RIPFrKarugendo
View attachment 1829219

Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.

14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.

18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.

19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.

19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.

=====

Aliyekuwa mchambuzi DW katika masuala ya mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania Padri Privatus Karugendo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Dar es Salaam baada ya kuugua katika kipindi kifupi. Kabla ya kuasi upadri, Karugendo aliwahi kuwa paroko Msaidizi wa Parokia ya Buziku Jimbo Katoliki la Rulenge. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi Gwandumi Mwakatatobe.
 
Back
Top Bottom