ndibuka
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 204
- 300
Mkoani huko mkuu,japo nilimkoseaga sana Padre,ila naamini alishanisameheWapi tabata kusiwani au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoani huko mkuu,japo nilimkoseaga sana Padre,ila naamini alishanisameheWapi tabata kusiwani au
MOD: Dhihaka ya NYANI NGABU kwenye msiba wa Padri Privatus Karugendo imetufadhaisha wengi. Kwa mujibu wa taratibu za jf anastahili BAN ili tuomboleze kwa utulivu.
Amina,mimi nimekuwa nae jirani huku tabata,pia amekuwa karibu na familia yetu kule karagwe mpaka nikadhani ni mnyamboMkoani huko mkuu,japo nilimkoseaga sana Padre,ila naamini alishanisamehe
Sijui Kabila lake ila najua ni mtu wa Kagera,alikua bado na anaishi na yule mke wake Dr?Amina,mimi nimekuwa nae jirani huku tabata,pia amekuwa karibu na familia yetu kule karagwe mpaka nikadhani ni mnyambo
Bado anaishi nae ndio wakifunga ndoa kabisa ,yule ni mhaya ila alikuwa jimbo la Rulenge-ngaraSijui Kabila lake ila najua ni mtu wa Kagera,alikua bado na anaishi na yule mke wake Dr?
Nampa pole sana Dr Rose kwani walianza mahusiano yule binti akiwa mdogo sana mpaka pale mtaani tulikua twashangaa sana,mara ya mwisho nilimuona Dr Temeke Hosp ila sikupata nafasi ya kuongeaBado anaishi nae ndio wakifunga ndoa kabisa ,yule ni mhaya ila alikuwa jimbo la Rulenge-ngara
Bado yuko Temeke,Mungu ampe nguvuNampa pole sana Dr Rose kwani walianza mahusiano yule binti akiwa mdogo sana mpaka pale mtaani tulikua twashangaa sana,mara ya mwisho nilimuona Dr Temeke Hosp ila sikupata nafasi ya kuongea
AmenBado yuko Temeke,Mungu ampe nguvu
I don’t die. I multiply.Tatizo ni kuwa unaweza kufa wewe kabla yake.
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
View attachment 1829219
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha ulimwengu na kujiletea maendeleo! Maendeleo uletwa na watu hai, si maiti”.
18/3/2021
“Mama Samia, pole sana kwa msiba huu mkubwa. Wengi tulikufahamu na kukupenda wakati wa Bunge la katiba. Simamia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uzalendo, umoja na mshikamano. Tanzania ni yetu sote”.
19/11/2020
“Hawa wanawake 19 wa Chadema, ninawafahamu vizuri, ninawaheshimu saaaana kwa msimamo wao na uaminifu mkubwa kwa chama chao na taifa lao. Ni kitu gani kimewapata?. Fedha? Hapana! Ubunge? Hapana! Hawa ni wapambanaji, watiifu na wazalendo! Wamejikwaa wapi? Halima! Niambie!”.
19/9/2020
“Mama Samia, ana sifa nyingi, mbali na upole, huruma, umakini na busara hana siasa za chuki na ushabiki, anaiangalia Tanzania, kwa ujumla wake, ni mzalendo wa kweli! Tujifunze kwake! Tanzania ni yetu sote!”.
=====
Aliyekuwa mchambuzi DW katika masuala ya mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania Padri Privatus Karugendo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Dar es Salaam baada ya kuugua katika kipindi kifupi. Kabla ya kuasi upadri, Karugendo aliwahi kuwa paroko Msaidizi wa Parokia ya Buziku Jimbo Katoliki la Rulenge. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi Gwandumi Mwakatatobe.
Fafanua MkuuHali ni mbaya sana. Si mdogo wake alifariki juzi kati hapa?
Ililetwa habari hapa siku si nyingi kuwa somebody Karugendo kafa. Baadaye ikagundulika ni mdogo wa huyu Privatus.Fafanua Mkuu
Ok!!!,Na kwamba ni ishu ya Korona,hii unaifafanuaje?.Ililetwa habari hapa siku si nyingi kuwa somebody Karugendo kafa. Baadaye ikagundulika ni mdogo wa huyu Privatus.
Hata mimi nimeshangaa. Huyu mtu nimeanza kusoma comments na posti zake kitambo. Among the greatest thinkers. What happened to Ngabu!!!Hili si andiko lako mkuu, nadhani dogo kashika simu yako kwa muda.