Mbunge aliyekua akihudumu Kama mbunge wa kuchaguliwa kutoka Jimbo la Mbarali, ndugu Faransis Mtega amefariki Dunia Leo mchana Kwa ajali ya pikipiki iliyotokea asubuhi. Ndugu mtega alichaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alipokea kijiti toka Kwa Haroon pilimohamed. Ndugu mtega alizariwa 01/ 06/ 1959. Taarifa zaidi zitakujia kupitia hapa kwenye Uzi huu.
Mheshimiwa mtega amepata ajali akiwa na pikipiki yake aina ya TVS dhidi ya pwatila aina ya Siam Kubota. Mwili wa marehem umehamishwa toka hospital ya chimala na kupelekwa hospital ya wilaya kwaajili ya kuhifadhiwa.
Roho yake ipumzike mahala pema peponi.
View attachment 2675277