Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Mbunge+TVS150???!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haitegemei kura za kuchaguliwa na wananchi ili iendelee kubaki madarakani. Kwa hiyo unajidanganya.Wapinzani wangeungana wakaweka mgombea 1 jimbo la Mbarali.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Maisha yetu ni Siri mkuu,unaweza kupack V8 ukateleza hata kibarazani ukafa hapo ndio lazima tumrudishie Mungu utukufu wake.Mbunge+TVS150???!!!
Ili mradi ashakufa basi. Tz hakunaga mambo mengi sana. Kilichobaki ripoti yake ya DPW ndo tunaisubiri hapa.Mbona maelezo ni ya utatanishi? Mara alikuwa anaendesha mwenyewe mara alikuwa anaendeshwa nk nk
Mbona majeruhi wengine wa ajali hawatajwi?
👍👍Maisha yetu ni Siri mkuu,unaweza kupack V8 ukateleza hata kibarazani ukafa hapo ndio lazima tumrudishie Mungu utukufu wake.
Sio ajabu, majuu Waziri mkuu anatembelea baiskeli kabisaMbunge+TVS150???!!!
Nakumbuka Ndugai aliwasa sana wabunge kujijali maisha yao hasa upanda wa boda mjini dodoma,(Japokuwa kifo hakina hodi)Sio ajabu, majuu Waziri mkuu anatembelea baiskeli kabisa
Nilikumbuko hilo pia.Nakumbuka Ndugai aliwasa sana wabunge kujijali maisha yao hasa upanda wa boda mjini dodoma,(Japokuwa kifo hakina hodi)
DPW itawamaliza vibaya, watubu tuAlishinda kihalali kwenye ule uchafuzi wa 2020?
DaaahAlishinda kihalali kwenye ule uchafuzi wa 2020?
Kawaida sana kwani kusema pole ndio kubadili dhamira?.Wewe ni miongoni mwa Wana chadema wachache Sana wasioweza hata kujaa kwenye kiganja wanaojitambua na wenye utu na ubinadamu na wanaotambua kuwa masuala ya kifo hayana chama na hayahitaji uchama.
Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila akubaliki kwa moyo wako wa uungwana na upendo,moyo wa utanzania,moyo wenye hofu ya Mwenyezi Mungu,moyo wa kujuwa Duniani tu wapitaji,moyo wa kujuwa masuala ya vifo humkumba yeyote na hutua popote bila Hodi na moyo wa kujuwa Mwenyezi MUNGU humchukua yeyote kwa wakati atakao bila kujali chama chake.
Hongera Sana kwa moyo wako huo,Endelea hivyo kuujaza moyo wako upendo,utu, uungwana, ubinadamu,hofu ya Mwenyezi Mungu,utanzania na huruma.
Achana na wanaoshangilia kwa kuwa tu hakuwa wa chama chao,.
Nzuri porini kusipokuwa. na lami na simba na wanyama wakari. Na vichochoroniNilikumbuko hilo pia.
Pikipiki ni nzuri sana kwa nchi ZILIZOSTAARABIKA NA SIO BONGO