TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Mbunge aliyekua akihudumu Kama mbunge wa kuchaguliwa kutoka Jimbo la Mbarali, ndugu Faransis Mtega amefariki Dunia Leo mchana Kwa ajali ya pikipiki iliyotokea asubuhi. Ndugu mtega alichaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alipokea kijiti toka Kwa Haroon pilimohamed. Ndugu mtega alizariwa 01/ 06/ 1959. Taarifa zaidi zitakujia kupitia hapa kwenye Uzi huu.

Mheshimiwa mtega amepata ajali akiwa na pikipiki yake aina ya TVS dhidi ya pwatila aina ya Siam Kubota. Mwili wa marehem umehamishwa toka hospital ya chimala na kupelekwa hospital ya wilaya kwaajili ya kuhifadhiwa.

Roho yake ipumzike mahala pema peponi.

Screenshot_20230701-192528_1.jpg
 
Mungu ameanza kuchukua watu wake mmoja mmoja baada ya mwingine baada ya kutoka bungeni Kuridhia na kupitisha makubaliano/Mkataba na DP WORLD.

Watanganyika na bandari zetu tumekaa paleee tunasubiri DP WORLD wagharamie mazishi ya mpendwa wao.
 
Wanadamu hakuna tulijualo kuhusiana na maisha yetu. Nadhani tunayoyapanga siyo mipango bali ni matamanio. Mipango anayo aliyetuumba.

Poleni sana wafiwa. Hata katika nyakati ngumu kama hizi msipungukiwe na rehema za Mungu.
Mkuu nyuzi zako mbn hatuwezi view maana Mimi huwa naptia hapo Juu profile kuongeza MAARIFA Sasa umefunga nadhani ungetufikiria kuhusu Jambo hili.
 
Mambuzi mee yapo yanausoma huu uzi, wanashangaa, jinsi wanavyo ombewa Dua mbaya
 
Back
Top Bottom